Kazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Workers digging Cedar River Pipeline, 1899.jpg|thumb|[[Wachimbaji]] wa [[mfereji]] wa [[maji]] kwenye [[mto Cedar]], [[Washington]] ([[1899]]).]]
[[File:Good Smile Company offices ladies.jpg|thumb|[[Wanawake]] wengi pamoja katika kazi ya [[ofisi|ofisini]].]]
[[Picha:Classic view of The Thinker (8437831806).jpg|thumb|[[Mwanafalsafa]] kazini alivyoonyeshwa na [[sanamu]] ya [[August Rodin]], "Le penseur" (= "Mwenye kufikiri").]]
[[File:Lewis Hine Power house mechanic working on steam pump.jpg|thumb|upright|[[Mfanyakazi]] akishughulikia [[mashine]] (picha ya [[Lewis Hine]], [[1920]]).]]
'''Kazi''' ni sehemu muhimu ya [[maisha]] ya [[binadamu]], hivyo ina nafasi kubwa katika [[anthropolojia]], [[falsafa]], [[teolojia]],[[fizikia]] na [[sosholojia]].
Mstari 13:
Ni pia mchango muhimu katika [[jamii]] na inayostahili kuheshimiwa na kutuzwa na wote, kuanzia [[serikali]].
 
Kwa kuwa ni wajibu, kazi ni vilevile [[haki ya msingi ya binadamu]]. Bila kuwa nayo, mtu anaelekea kunyong'onyea na kujiona hama maana, hasa kama [[utovu wa kazi]] unadumu muda mrefu na kumzuia asiweze kupanga [[maisha]] yake, kwa mfano upande wa [[ndoa]] na [[familia]], kwa sababu ya kutojitegemea.
 
[[Sheria]] mbalimbali zinaratibu mahusiano kazini, hasa kama kuna [[mwajiri]] na [[mwajiriwa]].
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.ilo.org/] Tovuti rasmi ya International Labour Organization
{{mbegu}}
 
Line 19 ⟶ 25:
[[Jamii:Utamaduni]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Kazi]]