Ukuta wa China : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 5:
== Historia ya ukuta ==
Ukuta ulijengwa na nasaba mbalimbali za watawala wa China tangu mwaka 200 [[KK]]. Shabaha yake ilikuwa ulinzi wa milki dhidi ya mataifa na makabila wa kaskazini walioendelea kushambulia China. Watu wa kaskazini walikuwa wahamiaji waliotumia
Ukuta jinsi ilivyo ni ukuta wa [[nasaba ya Ming]] uliojengwa kuanzia mnamo mwaka 1500. Manmo mwaka 1700 ukuta haukutunzwa tena kwa sababu katika karne ya 17 sehemu kubwa za Mongolia nje ya ukuta ziliunganishwa na China.
|