Wasaksoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Wasaksoni''' (kwa [[Kilatini]] Saxones, kwa [[lugha]] za [[Kijerumaniki]] Seaxe, Sahson, Sassen, Sachsen, Saksen, kutoka "seax", jina la [[kisu]] maalumu walichotumia) walikuwa [[shirikisho]] la ma[[kabila]] kadhaa ya [[Wagermanik]] wakazi wa [[Ujerumani]] [[Kaskazini]] walioenea katika sehemu za jirani.
 
Baadhi yao, pamoja na jirani zao [[Waangli]], jumla watu 200,000 hivi, walivamia [[Britania]] katika [[karne ya 5]] [[BK]] na baada ya hapo, wakiweka msingi wa [[Uingereza]] wa leo.
 
Wengine wao walibaki katika Ujerumani ya Kaskazini wakapingana na [[milki]] ya [[Wafaranki]] na hatimaye kushindwa na [[Karolo Mkuu]]. Katika karne ya 9 BK utemi wa Saksonia ulianza kuwa muhimu katika milki ya Ujerumani hadi mnamo mwaka 919 mtemi Heinrich I alichaguliwa kuwa mfalme wa Ujerumani.
 
Katika [[karne ya 9]] [[utemi wa Saksonia]] ulianza kuwa muhimu katika [[Dola la Ujerumani|milki ya Ujerumani]] hadi mwaka [[919]] [[mtemi]] [[Heinrich I]] alichaguliwa kuwa [[mfalme]] wa Ujerumani.

Watawala Wasaksoni waliendelea kuongoza milki ya Wajerumani hadi mwaka [[1024]] hata kuchuguakuchukua [[cheo]] cha [[kaisari]] chini ya [[Otto I]].

Baadaye mtemi wa Saksonia alishindana na kaisari[[Kaizari FrederikiFederiki I]] na utemi wa Saksonia uligawiwa. Cheo cha "Mtemi wa Saksonia" kilibaki na mtawala wa eneo dogo tu na kwa njia ya [[urithi]] cheo kilihamia katika kusini-mashariki yamwa Ujerumani.

Tangu siku zile jina la "[[Saksonia]]" linataja maeneo upande wa kusini wa [[Berlin]] ya leo. ManeneoMaeneo ya Saksonia yaasili kiasili kwenye kazkazini(kaskazini-magharibi yamwa Ujerumani) leo hii hujulikana kwa jina la "[[Saksonia Chini]]".
 
==Tanbihi==