Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 36:
| location = Paris
| page = 76
| isbn = 9782748333435}}</ref>Alilelewa katika makuzi ya familia ya[[w:Roman Catholic | Kikatoliki]], alisoma katika shule ya msingi ya [[w:school of Protestant|Shule ya kiprotestanti]] , Shule ambayo ilikuwa inamilikiwa na wamisionari wa Kanisa Katoliki, na baadaye alipata mafunzo katika chuo kimoja cha serikali , alijishindia kozi mbalimbali na kisha kuajiriwa, alipata kazi katika mji wa [[w:Léopoldville| Léopoldville]] ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[w:Kinshasa| Kinshasa]]) na baadaye katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambao nao kwa sasa unajulikana kwa jina la [[w: Kisangani|Kisangani]] ambapo alifanya kazi kama karani wa posta na pia alikuwa akifanya kazi ya uuzaji wa bia kwa wasafiri. Mnamo mwaka 1951 alimuoa [[w:Pauline Opangu |Pauline Opangu ]]. Mwaka 1955 Lumumba alipanda cheo na kuwa ''Cercles'' wa mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] na baadaye alijiunga na chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Liberal Party of Belgium]], ambapo alifanya kazi ya uhariri na usambazaji wa kijarida cha chama cha [[w:Liberal Party (Belgium)|Chama cha Kiliberali cha Ubeljiji]]. Na baadaye alifanya ziara ya mafunzo ya wiki tatu nchini Ubeljiji,mwaka 1956 alikamatwa na kushitakiwa kosa la ubadhilifu na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kifungo cha nje na
.<ref name=Kanyarwunga4>{{cite book
| last = Kanyarwunga
|