Waslavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|275px|Lugha za Kislavi Ulaya. File:Slavic World.svg|thumb|275px|Ramani ya dunia ikionyesha wapi Waslavi ni {{legend|#008000|we...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:SlavicEurope.png|thumb|275px|Lugha za Kislavi Ulaya.]]
[[File:Slavic World.svg|thumb|275px|Ramani ya dunia ikionyesha wapi Waslavi ni {{legend|#008000|wengi kuliko makabila mengine}}{{legend|#22B14C|zaidi ya 10% za wakazi wote}}]]
'''Waslavi''' (kwa [[Kiingereza]] '''Slavs''', jina ambalo ni asili ya neno "slave", yaani [[mtumwa]]) ni kundi kubwa la [[Taifa|mataifa]] yanayotumia [[lugha za Kihindi-Kiulaya]] [[Bara|barani]] [[Ulaya]]. Pamoja na kuwa wenyeji wa nchi za [[Ulaya Mashariki]], [[Ulaya ya Kati]] na [[Ulaya Kusini]] kuanzia [[karne ya 6]] [[BK]], tangu zamani wameenea [[Asia Kaskazini]] na [[Asia ya Kati]]. Nchi zao zinatawala zaidi ya 50[[%]] za bara la Ulaya.
 
==Tofauti==
Mstari 9:
 
==Idadi==
[[Duniani]] kote Waslavi wanakadiriwa kuwa [[milioni]] 360. Kati yao wanaongoza Warusi, Wapolandi na Waukraina.
 
[[Duniani]] kote Waslavi wanakadiriwa kuwa [[milioni]] 360.
 
{{mbegu-utamaduni}}