Tofauti kati ya marekesbisho "1995"

68 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
d (→‎Waliofariki: kuondoa mabano using AWB)
* [[2 Februari]] - [[Donald Pleasence]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Uingereza]]
* [[1 Machi]] - [[Georges Köhler]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1984]]
* [[3 Machi]] - [[Marijani Rajab]], mwanamuziki kutoka [[Tanzania]]
* [[8 Machi]] – [[Paul Horgan]], [[mwandishi]] wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1955]]
* [[14 Machi]] - [[William Fowler]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]], mwaka wa [[1983]]