Useremala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Traditional carpenter's tools<br />[[Makumbusho ya Cervo, Liguria, Italia.]] Image:Indiacarpenter.jpg|thumb|Maseremala...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Cervo100.jpg|thumb|TraditionalVifaa carpenter'svya tools<brkimapokeo vya seremala, />[[Makumbusho]] ya [[Cervo]], [[Liguria]], [[Italia]].]]
[[Image:Indiacarpenter.jpg|thumb|Maseremala kazini katika [[kijiji]] cha [[India]].]]
[[File:Khati or Tarkhan, carpenter caste of the Panjab - Tashrih al-aqvam (1825), f.287v - BL Add. 27255.jpg|thumb|Tabaka la maseremala huko [[Punjab (Uhindi)|Panjab]], [[India]] (1825)]]
[[File:Kizhi churches.jpg|thumb|right|Kanisa la mbao la karne ya 17 nchini [[Russia]].]]
[[File:Fotothek df n-10 0000828.jpg|thumb|Maseremala wa leo kazini.]]
'''Useremala''' (kutoka [[neno]] la [[Kiajemi]] na la [[Kiarabu]]) ni aina ya [[ufundi]] ambayo kimapokeo ilitegemea [[Ubao|mbao]], lakini siku hizi hata vitu vingine<ref>Roza, Greg. ''A career as a carpenter''. New York: Rosen Pub., 2011. 6. Print.</ref>.
<ref>Vogt, Floyd, and Gaspar J. Lewis. ''Carpentry''. 4th ed. Clifton Park, NY: Thomson Delmar Learning, 2006.xvi Print.</ref>.
 
Seremala anashughulikia masanduku ya kumwagia [[zege]], [[Mlango|milango]] na [[dirisha|madirisha]] kuanzia [[fremu]] zake, [[fenicha]], [[kenji|makenji]] n.k.
 
Mara nyingi [[mtu]] anajifunza [[kazi]] hiyo kwa kusaidia seremala stadi, lakini siku hizi kuna vyuo vingi vinavyofundisha fani hiyo.
Mstari 29:
[[Category:Teknolojia]]
[[Category:Kazi]]
[[Jamii:Ujenzi]]