Afya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia, bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] (hiyo iwe katika asilimia ndogo sana).

Pia anatakiwa awesafiawe kimazingirasafi piakimwili awesafina kimwilikimazingira, kama vile kamavilekwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka.
 
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.
Line 22 ⟶ 24:
[[Serikali]] zinatarajiwa kuandaa [[wataalamu]] wa mambo ya afya na kujenga [[hospitali]] nyingi hata [[kijiji|vijijini]] kwa sababu watu wengi hupoteza maisha kwa kukosa [[huduma]] za afya: hii itasaidia kupunguza [[Kifo|vifo]].
 
Watu wanatakiwa kuwa na ustadi wa kufanya [[mazoezi]] kwa wingi. Hata mjamzito anapaswa kufanya mazoezi, ingawa si kazi ngumu.
 
Pia kula [[mlo]] bora wakati wote ili kuepukana na [[magonjwa]] yanayotokana na ukosefu wa [[chakula]] fulani ([[virutubishi]]).