Mizungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mizungu kauli zenye picha na mafumbo zinazoonesha ukinzani wa fikra au tukio. Mara nyingi Mizungu hutumika kwenye hadithi za soga na kw...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:21, 15 Oktoba 2016

Mizungu kauli zenye picha na mafumbo zinazoonesha ukinzani wa fikra au tukio.

Mara nyingi Mizungu hutumika kwenye hadithi za soga na kwenye Miviga. Mifano ya mizungu ni, 1*Miti yote nitapanda ila mtalawanda unanishinda maana yake Mpapai. 2*Embe limeiva nyumbani ila nashindwa kulila maana yake dada au ndugu yangu wa kike.