Ufugaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
==('ufugaji')==
'ufugaji' ni mojawapo ya shughuli mbalimbali za binadamu ambazo huweza kumuingizia kipato ambacho huchangia katika uchumi wa nchi,pia uchumi huo huchangia katika maendeleo ya nchi fulani.pia kwa maana nyingine ufugaji ni kitendo cha kutunza wanyama na kuwapa chakula ukizingatia lishe bora au kanuni zote za ugawaji na utunzaji wa wanyama kwa kuzingatia lishe bora,hata pia upatikanaji wa maji kwa ajili ya wanyama hao.
 
== Aina mbalimbali za ufugaji ==