Kilimo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3:
Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji [[mimea]], [[ufugaji]] wa [[wanyama]], na [[uvuvi]] wa [[samaki]]. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na [[ufugaji]] wa wanyama.
Nchini Tanzania ili kilimo kuendelea wakulima wanatakiwa kupewa elimu,kupewa mikopo ya pesa, na pia wanatakiwa kujishughulisha na kilimo cha umwagiliaji na si tu kutegemea mvua. ▼
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi [[mavuno]] hasa kwa uzalishaji wa [[chakula]] cha [[binadamu]] na [[lishe]] ya wanyama, lakini pia kwa shabaha ya kupata [[malighafi]] mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza [[nguo]] za watu.
Line 10 ⟶ 9:
==Katika uchumi==
Kilimo ni mojawapo ya [[shughuli]] za mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya [[biashara]] ambayo inaweza kumuingizia kipato kwa ajili ya [[maisha]] yake, pia kipato hicho husaidia katika kukuza [[uchumi]] wa nchi yake ili hatimaye itakuwa imejikomboa kiuchumi.
Sekta hiyo ndiyo kiinua uchumi kikubwa kwa mataifa mengi.
Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe [[kipaumbele]] kwa sekta ya kilimo ili kuepukana na
[[Serikali]] zinatakiwa zizidi kuongeza [[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata kwa wingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]].
Line 20 ⟶ 19:
Pia serikali itoe [[elimu]] juu ya kilimo bora kama [[kitega uchumi]] ambacho huwasaidia watu kujipatia mazao na kipato cha kwao ili kuendesha [[maisha]] yao binafsi.
▲
== Historia ==
Watu walianza kulima takriban miaka 10,000 iliyopita na kabla ya hapo watu waliwinda tu na kukusanya [[matunda]]. Kuna vikundi vidogo ambavyo vinaendelea na maisha haya hadi leo, lakini siku hizi zaidi ya [[asilimia]] 99 za binadamu hupata chakula kutokana na kilimo.
|