Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 86:
Tangu mwaka [[1945]] mpaka wa mashariki ni [[mto]] [[Oder]] dhidi ya Poland na vilele vya [[Milima ya Madini]] ([[jer.]] ''Erzgebirge'') na [[Msitu wa Bohemia]].
 
Upande wa magharibi mpaka dhidi ya Ufaransa ni mto [[Rhein]] pamoja na vilima kati ya [[Alsasi]] na [[Rhine-Palatino]] na vilima dhidi ya [[LuxenburgLuxemburg]] na milima ya [[Eifel]] dhidi ya [[Ubelgiji]]. Mpaka dhidi ya Uholanzi katika magharibi kaskazini inapita katika tambarare iifuata mistari ya kihistoria.
 
Ujerumani ina kanda tatu za kijiografia: