Maajabu ya dunia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Wonder of the Worlds" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[image:SevenWondersOfTheWorld.jpg|thumb|300px|Maajabu saba ya dunia ya kale<br>Orodha ya makala yafuatana na picha hizi saba]]
'''Maajabu ya dunia''' ni [[orodha]] ya ma[[jengo]] saba ya pekee iliyojulikana na [[Wagiriki wa Kale]].
[[Wagiriki]] waliita majengo hayo ΤÀ ΕΠΤÀ ΘΕÁΜΑΤΑ ΤΗΣ ΟΙΚΟΥΜÉΝΗΣ (ΓΗΣ) ''ta hepta theamata tes oikumenes (ges)'' - Maajabu saba ya dunia inayokaliwa).
Mara ya kwanza majengo hayo yalitajwa na [[mwandishi]] [[Herodoti]] mnamo [[450 KK]].
==
#[[Piramidi za Giza]] ([[Misri ya Kale]])
#[[Mabustani ya Semiramis]] ([[Babeli]])
#[[Hekalu ya Artemis mjini Efeso]] ([[Asia Ndogo]])
#[[Sanamu ya Zeus mjini Olympia]] ([[Ugiriki ya Kale]])
#[[Kaburi la Mausolo mjini Halikarnassos]] ([[Uajemi]])
#[[Sanamu ya Kolossos kisiwani Rhodos]] (Ugiriki ya Kale)
#[[Pharos ya Aleksandria|Mnara wa Pharos ya Aleksandria]] ([[Misri]])
Kati yake [[piramidi]] pekee zimebaki hadi leo.
==Maajabu ya dunia ya sasa==
Katika [[ulimwengu]] kila siku maajabu yanaongezeka na kufanya maajabu mapya ya dunia kukubalika mara kwa mara. Kwa mfano, mwaka [[2016]] kuna maajabu yake.
[[File:GreatWall6.jpg|thumb|[[Ukuta mkubwa wa China]]]]
[[File:Aya sofya.jpg|thumb|[[Hagia Sophia]], [[Istanbul]], [[Uturuki]]]]
[[File:Stonehenge-Green.jpg|thumb|[[Mawe yaliyobebana]] huko [[Stonehenge]], [[Uingereza]]]]
[[File:80 - Machu Picchu - Juin 2009 - edit.jpg|thumb|upright|[[Machu Picchu]], [[Peru]]]]
[[File:Taj Mahal in March 2004.jpg|thumb|[[Taj Mahal]], [[India]]]]
[[File:Empire State Building from the Top of the Rock.jpg|thumb|upright|[[Ghorofa]] za [[New York]], [[Marekani]]]]
[[File:GG-ftpoint-bridge-2.jpg|thumb|[[Daraja la geti la shaba]]]]
[[File:Victoriafälle.jpg|thumb| [[Maporomoko ya Viktoria]] ]]
[[File:Blue Linckia Starfish.JPG|thumb|upright|Mmea wa ajabu uliopo chini ya bahari]]
[[File:Toronto - ON - Toronto Harbourfront7.jpg|thumb|upright|[[Mnara wa ON]], [[Toronto]], [[Kanada]]]]
== Tazama pia ==
* [http://www.ce.memphis.edu/1101/interesting_stuff/7wonders.html Maajabu saba ya ulimwengu wa sasa]
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Historia]]
[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Misri ya Kale]]
[[Jamii:Maajabu ya Dunia|*]]
|