Roskosmos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Roskosmos''' ([[rus.]] Роскосмос) ni jina la kifupi la shirika la serikali ya [[Urusi]] kwa shughuli za kiraia kwenye [[anga la nje]]. Jina kamili kwa [[Kirusi]] ni Государственная корпорация по космической деятельности (''gosudarstvenaya korporatsiya po kosmocheskoi deyatelnosti'' "shirika ya kiserikali ya shughuli za angani").
 
Shirika hili lilianzishwa tarehe 1 Januari 2016 kwa amri ya rais [[Wladimir WladimirowitschVladimir Putin|Putin]] likachukua nafasi ya mamlaka ya kitaifa yenye jina lilelile.<ref>[http://tass.ru/en/science/847295 Russian space agency gets replaced by state corporation — Kremlin], [[TASS]] 2015-12-28, ikitazamiwa 2016-02-02</ref><ref>[http://nasawatch.com/archives/2015/12/putin-formally.html Russian Space Follies], NASA Watch 2015-12-30, ikiangaliwa tar. 2016-02-02</ref> kwa unganisha mamlaka ya awali na Shirika la Roketi na Anga la Nje (Объединенная ракетно-космическая корпорация, United Rocket and Space Corporation) iliyotengeneza [[vyombo vya anga]].
 
Linahusika na miradi yote ya kiraia (tofauti na miradi ya kijeshi) ya Urusi. Makao makuu yapo Moscow na kituo cha kufunza wanaanga huko kwenye "Mji wa nyota" ([[Swjosdny Gorodok]]). Kituo cha kurusha roketi kinapatikana [[Baikonur]] katika [[Kazakhstan]] iliyokuwa kituo cha [[Umoja wa Kisovyeti]].