Udeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d update
No edit summary
Mstari 22:
area_magnitude = 1 E10 |
percent_water = 1.6%<sup>1</sup> |
population_estimate = 5,639707,719251 |
population_estimate_year = 20142016 |
population_estimate_rank = ya 113 |
population_census = 5,450,661 |
population_census_year = 2006 |
population_density = 131132.96 |
population_densitymi² = 339344.34| <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
population_density_rank = ya 78<sup>3</sup> |
GDP_PPP_year = 2005 |
Mstari 53:
}}
[[Picha:Da-map.png|left|thumb|330px|left|Ramani ya Denmark]]
'''Denmark''' (pia '''''Denmaki''''', '''''Denimaki''''' au '''''Udani''''' - kwa [[Kidenmark]]: ''Kongeriget Danmark'') ni [[ufalme]] wa [[Ulaya]] ya [[Kaskazini]]. Ni nchi ndogo kati ya nchi za [[Skandinavia]].
 
'''Denmark''' (pia '''''Denmaki''''' au '''''Denimaki''''' au '''''Udani''''' - kwa [[Kidenmark]]: ''Kongeriget Danmark'') ni [[ufalme]] wa [[Ulaya]] ya Kaskazini. Ni nchi ndogo kati ya nchi za [[Skandinavia]]. Imepakana na [[Ujerumani]] upande wa [[kusini]] na kuzungukwa na [[maji]] pande tatu zilizobaki. Kaskazini kwake iko [[Norwei|Unowe]] ng'ambo ya [[mlango wa bahari]] ya [[Skagerak]], [[mashariki]] iko [[Uswidi]] ng'ambo ya [[Kattegat]] na [[Oresund]]. [[Bahari ya Kaskazini]] iko upande wa [[magharibi]], [[Baltiki]] inaanza kwenye [[visiwa]] vikuu vya Denmark.
 
[[Greenland]] na visiwa vya [[Faroe]] ni sehemu ya ufalme wa Denmark lakini zinajitawala.
 
== Jiografia ==
Denmark ina eneo la [[km²]] 43.000&nbsp;km². [[Theluthi]] ya eneo hili ni kwenye visiwa 443 vya Denmark ambavyo 76 tu kati yake vinakaliwa na watu.
 
[[Rasi]] ya [[Jutland]] ni sehemu kubwa ya eneo. Jutland ni Denmark bara. Ina urefu wa 300&nbsp;km kuelekea kaskazini kutoka [[mpaka]] wa Ujerumani hadi [[ncha]] yake kwa [[Skagen]].
Line 64 ⟶ 67:
 
Visiwa vikubwa ni [[Funen]] (''Fyn''), [[Zealand]] (''Sjælland'') na [[Bornholm]] (''Bornholm'').
 
[[Greenland]] na visiwa vya [[Faroe]] ni sehemu ya ufalme wa Denmark lakini zinajitawala.
 
== Historia ==
{{main|Historia ya Denmark}}
 
Wakazi wa kwanza waliojulikana katika [[historia]] kwa jina ni ma[[kabila]] ya [[Wakimbri]] na [[Wateutonia]] waliohamia hadi Ulaya ya kusini wakati wa [[njaa]] mnamo mwaka [[113]] [[KK]].
 
Mstari 82:
Baada ya Uswidi kujitenga na umoja huo, Norway iliendela kuwa chini ya Denmark hadi mwaka [[1814]].
 
Mwaka [[1537]] Denmark ilijiunga na [[Matengenezo ya Kiprotestanti]] na [[Walutheri|Kanisa la Kilutheri]] likawa [[dini rasmi]] nchini hadi leo, ikifuatwa na 7876.49% za wakazi. Denmark ilikuwa kati ya nchi muhimu sana ya Ulutheri, lakini leo 3% tu wanashiriki [[ibada]] ya [[Jumapili]].
 
Baada ya [[vita]] za [[Napoleoni]] Denmark iliondolewa utawala wa Norway iliyounganishwa na Uswidi mwaka 1814. Lakini ma[[koloni]] ya Greenland, Iceland, Faroe na visiwa vya [[Karibi]] zilibaki chini yake.
Mstari 96:
Denmark ikawa kati ya nchi zilizounda [[UM]] na pia [[NATO]].
 
Mwaka [[1973]] ikajiunga na [[Jumuiya ya Ulaya]] (sasa: [[Umoja wa Ulaya]]), lakini imekataa kutumia [[euro]] badala ya krona.
 
Kutokana na [[uzazi]] mdogo, miaka ya mwisho [[uhamiaji]] umeongezeka, hivi 12.3% wana asili ya kigeni (yaani hata [[mzazi]] wao mmoja ni [[raia]] na mzaliwa wa Udani).
 
== Watu maarufu ==
Line 106 ⟶ 108:
==Marejeo==
{{Reflist|30em}}
 
*{{da icon}} Busck, Steen and Poulsen, Henning (ed.), "Danmarks historie&nbsp; – i grundtræk", Aarhus Universitetsforlag, 2002, ISBN 87-7288-941-1
*{{da icon}} {{Cite book|last1=Gammelgaard |first1=Frederik |last2=Sørensen |first2=Niels
Line 119 ⟶ 120:
|isbn=87-7826-031-0|ref=harv}}
*{{da icon}} Michaelsen, Karsten Kjer, "Politikens bog om Danmarks oldtid", Politikens Forlag (1. bogklubudgave), 2002, ISBN 87-00-69328-6
*{{swesv icon}} Nationalencyklopedin, vol. 4, Bokförlaget Bra Böcker, 2000, ISBN 91-7024-619-X.
 
==Viungo vya nje==