Ufini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Update
No edit summary
Mstari 59:
}}
 
'''Ufini''' (pia: '''Finland''', ''Finlendi''; kwa [[Kifini]]: '''Suomi''') ni nchi ya [[Skandinavia]] iliyoko [[Ulaya]] ya Kaskazini]]. Imepakana na [[Norway|Norwei]] upande wa Kaskazini[[kaskazini]], [[Urusi]] upande wa [[mashariki]] na [[Uswidi]] upande wa [[magharibi]].
 
Ng'ambo ya [[Baltiki]] iko [[Estonia]] ambayo watu wake hutumia [[lugha]] iliyo karibu sana na [[Kifini]]. Inaonekana ya kwamba mababu wa Wafini na Waestonia walihama pamoja wakiwa na lugha ileile zamani, lakini sasa ni lugha mbili kwa sababu hawakuwa na [[mawasiliano]] kati yao kwa muda mrefu.
 
Nchi ina wakazi [[milioni]] [[tano]] [[Nusu|unusu]] tu katika eneo la [[km²]] 338,000; hivyo ni kati ya nchi za [[Ulaya]] zenye [[msongamano]] mdogo wa watu. Sehemu kubwa ya eneo lake ni [[misitu]] tu.
 
[[Mji mkuu]] ni [[Helsinki]].
Mstari 70:
 
=== Watu ===
Kuna jumuiya tatu katika Ufini: [[Wafini]] wenyewe ambao ni 9290% ya wakazi wote. [[Waswidi]] wako hasa upande wa kusini mwa nchi, kwa jumla ni takriban 5.5% ya wakazi. Hasa [[visiwa vya Aland]] kuna Waswidi watupu walio na hali ya kujitawala ndani ya Ufini. [[Wakazi asilia]] ni [[Wasami]] ambao wako kaskazini tu. Maisha yao yanategemea [[uwindaji]] na [[ufugaji]]; wako wachache, jumla yao haifikii 10.2% ya wakazi wote.
Mbali na hao, kuna [[wahamiaji]] (5.9%), hasa kutoka [[Russia]], Estonia na [[Somalia]].
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kifini]] na [[Kiswidi]]. Lugha ya Kifini ina asili ya [[Asia]] ya kati, haina uhusiano na [[lugha za Kihindi-Kiulaya]].
Line 76 ⟶ 77:
Wakazi wenye lugha ya Kiswidi wako upande wa kusini mwa nchi kwa sababu Ufini ilitawaliwa na Uswidi kwa [[karne]] nyingi. Katika karne hizo walikuwepo Waswidi waliohamia Ufini lakini kuna pia Wafini walioanza kutumia Kiswidi pekee. Hasa kwenye visiwa vya Aland Kiswidi ni lugha pekee. Lakini Waswidi wa Ufini wanajisikia wa Ufini.
 
Upande wa [[dini]], 75.373% ni [[Walutheri]] na 1.1% [[Waorthodoksi]]. [[Madhehebu]] hayo mawili ya [[Ukristo]] yanatambulika na kupewa nafasi katika matukio na [[shule]]ni. 2224.13% hawana dini yoyote.
 
== Watu maarufu ==
* [[Mikael Agricola]]
 
== LinksViungo vya nje ==
{{Commons|Category:Finland}}
* [http://www.finlandlive.info/ Finlandlive.info] - Finland Travel Forum
 
{{Commons|Category:Finland}}
 
{{Umoja wa Ulaya}}
Mstari 93:
[[Jamii:Nchi za Umoja wa Ulaya]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya|Ufini]]
[[Jamii:Skandinavia]]