Lituanya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Tengua pitio 972429 lililoandikwa na Riccardo Riccioni (Majadiliano) |
|||
Mstari 89:
==Wakazi==
Wananchi kwa [[asilimia]] 84 wanaongea [[Kilituania]] ambacho pamoja na [[Kilatvia]] ndizo [[lugha hai]] pekee za jamii ya [[lugha za Kibaltiki]] kati ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Ndiyo [[lugha rasmi]].
Mbali na Walituania asili (
[[Dini]] ya wananchi ni [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] (77.2%), mbali ya [[Waorthodoksi]] (4.9%) na [[Waprotestanti]] (0.8%). Wasio na dini yoyote ni 6.1%.
==Viungo vya nje==
|