Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[Picha:By-map.png|thumb|250px|Ramani ya Burundi]]
 
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''[[Urundi]]''') ni nchi ndogo ambayo iko katika [[Nchi za Maziwa Makuu|eneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].
 
Burundi ni mwanachama wa [[Umoja wa Afrika]] na wa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]].