Damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 3:
[[File:Humanbood600x.jpg|thumb|right|Damu ya binadamu iliyokuzwa mara 600]]
[[File:320frogblood600x2.jpg|thumb|right|Damu ya chura iliyokuzwa mara 600]]
[[File:320fishblood600x2.jpg|thumb|right|Damu ya samaki iliyokuzwa mara 600 ]]
[[Picha:Bleeding finger.jpg|thumb||Damu ikitoka kwenye kidonda]]
'''Damu''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[kiowevu]] katika [[mwili]] wa [[binadamu]] na [[wanyama]]. Inazunguka mwilini ikisukumwa na [[moyo]] ndani ya [[mishipa ya damu]] ikisukumwa na [[moyo]] kwa lengo la kumwezesha kuishi.
 
Kazi ya [[tishu]] hiyo ni kupeleka [[lishe]] na [[oksijeni]] kwa [[seli]] za mwili na kutoa [[daioksaidi ya kaboni]] pamoja na [[uchafu]] mwingine kutoka seli.
Mstari 23:
</ref> na ina [[protini]], [[glukosi]], [[ioni]] za [[madini]], [[homoni]], [[Dioksidi kabonia|dioksidi ya kaboni]] (Plasma ikiwa ndiyo chombo kikuu cha usafirishaji wa bidhaa taka), [[chembe za kugandisha damu]] na seli za damu zenyewe. Seli za damu zilizo kwenye damu hasa ni seli nyekundu za damu (zinazofahamika pia kama RBC yaani Red Blood Cells au erithrosaiti) na seli nyeupe za damu, zikiwa pamoja na lukosaiti na chembe za kugandisha damu.
 
Seli nyingi zaidi katika damu za wanyama wenye [[uti wa mgongo]] ni seli nyekundu za damu. Seli hizi zina himoglobini, protini yenye [[Chuma|madini ya chuma,]] ambayo huwezesha usafirishaji wa [[Oksijeni|oksijeni]] kwa kujiunganisha kwa hali ya kujirudia na gesi hii ya kupumua na kuongeza kwa kiasi kikubwa umumunyifu wake katika damu. Kwa upande mwingine, dioksidi ya kaboni inasafirishwa karibu kabisa nje ya seli ikiwa imeyeyushwa ndani ya plazma kama ioni ya bikaboneti.
 
Damu ya wanyama wenye uti wa mgongo huwa ni nyekundu yenye kung'aa wakati ambapo himoglobini yake imewekewa oksijeni. Wanyama wengine, kama vile [[krusteshia]] na [[moluska]], hutumia hemosianini kubeba oksijeni, badala ya himoglobini. [[Wadudu|Wadudu]] na baadhi ya moluska hutumia ugiligili unaoitwa hemolimfu badala ya damu, tofauti ikiwa kwamba hemolimfu haipatikani katika mfumo wa usambazaji[[usambazaji]] uliofungwa. Katika wadudu wengi, "damu" hii haina molekuli zinazobeba oksijeni kama vile himoglobini kwa sababu miili yao ni midogo na hivyo mfumo wao wa kupumua unatosha kusambaza oksijeni.
 
Wanyama wenye uti wa mgongo na walio pia na [[taya]] wana [[Mfumo wa kingamaradhi|mfumo rekebishi wa kinga]], unaotegemea seli nyeupe za damu kwa kiasi kikubwa. Seliseli nyeupe za damu. Seli hizo husaidia kupinga maambukizi na [[vimelea]]. Chembe za kugandisha damu ni muhimu katika ugandishaji wa damu. <ref>{{cite book
| last = Maton
| first = Anthea
Mstari 38:
</ref> [[Arithropodi|Athropodi]], zinazotumia himolimfu, zina hemosaiti kama sehemu ya mfumo wao wa kinga.
 
Damu inasambazwa mwilini kupitia mishipa ya damu kutokana na usukumaji wa [[Moyo|moyo.]] Katika wanyama wenye [[Mapafu|mapafu,]], damu kutoka kwa ateri hubeba oksijeni kutoka kwa hewa iliyovutwa hadi kwenye tishu za mwili, na damu kutoka kwa vena hubeba dioksidi ya kaboni, bidhaa taka zinazotokana na umetaboli, zinazozalishwa na [[Seli|seli]], kutoka kwa tishu hadi kwa [[Mapafu|mapafu]] ili zitolewe.
 
Istilahi za uuguzi zinazohusiana na damu mara nyingi huanza kwa ''hemo-'' au ''hemato-'' (pia inaandikwa ''haemo-'' na ''haemato-'') kutoka neno la [[Kigiriki cha Kale]] αἷμα, ''(haima)'' yenye maana ya "damu".

Kwa upande wa [[anatomia]] na [[histolojia]], damu inafikiriwa kama muundo maalum wa tishu unganifu, kutokana na asili yake ya mifupa na uwepo wa nyuzi zenye mfumo wa fibrinojeni.
 
==Kazi==
Line 46 ⟶ 48:
[[File:Heme.svg|right|thumb|Heme]]
Damu hufanya kazi nyingi muhimu katika mwili, zikiwemo:
* Upelekaji wa [[Oksijeni|oksijeni]] kwenye tishu (zilizoungana na himoglobini, ambayo hubebwa kwenye seli nyekundu)
* Ugavi wa virutubishi kama vile glukosi, amino asidi, na asidi zenye mafuta (zilizoyeyushwa kwenye damu au zimeungana na protini za plazma (kwa mfano, lipidi za damu)
* Uondoaji wa taka kama vile [[Dioksidi kabonia|dioksidi ya kaboni]], urea, na asidi ya maziwa yaliyochachuka
* Kazi za kukinga mwili, ikiwa ni pamoja na mzunguko wa seli nyeupe za damu, na utambuzi wa vifaa vya nje kupitia zindiko
* Kuganda, ambayo ni sehemu moja ya utaratibu wa kujirekebisha kwa mwili (ambapo damu huganda wakati mtu anapokatwa ili kuziba kutoka kwa damu.)
* Kazi za mjumbe, ikiwa ni pamoja na usafirishaji wa homoni na kutoa ishara ya uharibifu wa tishu
* Udhibiti wa [[Thamani pH|pH]](kiwango cha uasidi au ualikali) mwilini
* Udhibiti wa kiwango chajotocha joto mwilini
* Kazi za mwendo wa maji
 
==Vipengele vya damu ya binadamu==
[[File:Blut-EDTA.jpg|upright|thumb|Neli mbili za EDTA-damu isiyoganda. Neli ya kushoto: baada ya kusimama, RBC zinakusanyika katika sehemu ya chini ya neli. Neli ya kulia: yenye damu mbichi iliyotoka kutolewa.]]
Damu inachangia 8% ya [[uzito]] wa mwili wa binadamu, <ref name="alberts_table">{{Cite web|url=http://www.ncbi.nlm.nih.gov/sites/entrez?cmd=Search&db=books&doptcmdl=GenBookHL&rid=mboc4.table.4143|title=Leukocyte functions and percentage breakdown|accessdate=2007-04-14|publisher=NCBI Bookshelf|year=2005|author=Alberts, Bruce|work=Molecular Biology of the Cell}}</ref> ulio na uzito wastani wa 1060 kg/ m <sup>3,</sup> inakaribiana sana na uzito wa maji masafisafi ya 1000 kg/ m <sup>3.</sup> <ref>{{cite web | url = http://hypertextbook.com/facts/2004/MichaelShmukler.shtml | title = Density of Blood | accessdate = 2006-10-04 | year = 2004 | work=The Physics Factbook|last=Shmukler|first=Michael }}</ref> Mtu mzima wa kadiri ana kiasi cha damu cha kama [[lita]] 5 (1.3 gal) hivi, linalojumuisha plazma na aina kadhaa za seli (zinazoitwa mara kwa mara zinazoitwa ''chembedamu);'' elementi hizi zilizoundwa kutoka kwa damu ni chembe chembechembechembe nyekundu za damu (seli nyekundu za damu), lukosaiti (seli nyeupe za damu), na thrombositi (chembe za kugandisha damu). Kwa kiasi, seli nyekundu za damu huchangia takribani 45% ya damu yote, plazma takribani 54.3%, na seli nyeupe takribani 0.7%.
 
Damu yote (plazma na seli) huonyesha sifa zisizofuata sheria za giligili za [[Newton Issack|Newton]]; sifa zake za kutiririka hubadilika ili kutiririka ipasavyo kupitia mishipa midogo ya damu kwa upinzani mdogo zaidi kuliko plazma ikiwa peke yake. Aidha, kama himoglobini yote ya binadamu ingekuwa huru katika plazma badala ya kuwekwa kwenye RBCs, giligili za mzunguko ungenata sana na kufikia kiwango ambapo unazuia utendakazi bora wa mfumo wa moyo na mishipa.
 
===Seli===
[[Mikrolita]] moja ya damu ina:
*''Chembechembe nyekundu za damu'' milioni 4.7 hadi 6.1 (za kiume), milioni 4.2 hadi 5.4 (za kike): <ref>{{cite web
|url = http://www.nlm.nih.gov/medlineplus/ency/article/003644.htm#Normal%20Values
|title = Medical Encyclopedia: RBC count|publisher = Medline Plus|accessdate = 18 November 2007
}}</ref> Katika [[mamalia]] wengi, seli nyekundu za damu zilizokomaa zinakosa kiini na oganeli. Zina himogloboni za damu na husambaza oksijeni. Seli nyekundu za damu (pamoja na seli za vyombo vya endotheli na seli nyingine) pia zimetiwa alama na glaikoprotini ambazo zinatambulisha aina za damu tofauti. Kiwango cha damu kinachomilikiwa na seli nyekundu za damu kinajulikana kama hematokriti, na kwa kawaida ni takriban 45% ya damu. Ukubwa wa eneo la seli zote nyekundu za damu katika mwili wa binadamu zikiwekwa pamoja utakuwa takribani mara 2,000 kubwa zaidi ya sehemu ya nje ya mwili. <ref>{{cite book |author=Robert B. Tallitsch; Martini, Frederic; Timmons, Michael J. |title=Human anatomy |publisher=Pearson/Benjamin Cummings |location=San Francisco |year=2006 |page=529 |isbn=0-8053-7211-3 |edition=5th}}</ref>
*''Lukosaiti 4,000 hadi 11,000:'' <ref name="Ganong WF">{{cite book |author=Ganong, William F. |title=Review of medical physiology |publisher=Lange Medical Books/McGraw-Hill |location=New York |year=2003 |page=518 |isbn=0-07-121765-7 |edition=21}}</ref> Seli nyeupe za damu ni sehemu ya mfumo wa kinga; zinaangamiza na kuondoa seli nzee au potovu na mabaki ya chembechembe, na pia hushambulia vikolezo vinavyoleta maambukizi (visababisha magonjwa) na dutu za kigeni. Kansa ya lukosaiti inaitwa lukemia.
*''Thrombosaiti 200,000 hadi 500,000:'' <ref name="Ganong WF"></ref> thrombosaiti, ambazo pia hujulikana kama chembe za kugandisha damu, zina jukumu kugandisha damu (ugandishaji). Hubadilisha fibrinojeni iwe fibrini. Fibrini hii inaunda wavu ambayo seli nyekundu za damu hukusanyika juu yake na kuganda na hii kuzuia damu zaidi kutoka kwenye mwili na pia husaidia kuzuia bakteria kuingia mwili.
Line 100 ⟶ 102:
 
===Plazma===
Takribani 55% ya damu yote ni plazma ya damu, giligili ambalo ni chombo cha majimaji cha damu ambalo lina [[rangi]] ya [[manjano]] ya [[nyasi]]. Kiasi cha jumla cha plazma ya damu katika mwili wa binadamu wastani ni [[lita]] 2.7 hadi 3.0. Kimsingi, ni mchanganyiko wa [[maji]] (92%) na [[protini]] (8%) na viwango vidogo vya vitu vingine.
 
Plazma hueneza virutubishi vilivyoyeyushwa, kama vile [[glukosi]], [[asidi za amino]], na asidi zenye mafuta (zilizoyeyushwa kwenye damu au zilizoshikana na protini za plazma), na huondoa bidhaa za taka, kama vile [[Dioksidi kabonia|oksidi ya kaboni]], [[urea]], na asidi ya maziwa yaliyochachuka.
Line 115 ⟶ 117:
 
===Kadiri ndogo ya thamani za pH===
[[Thamani pH|pH]] ya damu inadhibitiwa ili ibaki katika kadiri ndogo ya 7.35 hadi 7.45, na hivyo kuifanya alikalini kiasi. <ref name="Waugh">{{cite book|last1=Waugh|first1=Anne|last2=Grant|first2=Allison|title=Anatomy ans Physiology in Health and Illness|publisher=Churchill Livingstone Elsevier|date=2007|edition=Tenth |pages=22|chapter=2|isbn=978 0 443 10102 1}}</ref> <ref name="ReferenceA">{{MerckManual|12|157|a||Acid-Base Regulation and Disorders}}</ref> Damu iliyo na pH chini ya 7.35 ni ya asidiiasidi mno, huku pH ya damu iliyo juu ya 7.45 ni ya alkali mno. pH ya damu, sehemu ya shinikizo la oksijeni (po <sub>2),</sub> sehemu ya shinikizo la dioksidi ya kaboni (pCO <sub>2),</sub> na <sub>3</sub> HCO zinadhibitiwa kwa makini kupitia taratibu kadhaa za homiostasisi, ambazo hutumia uwezo wao hasa kupitia mfumo wa upumuaji na mfumo wa mkojo ili kudhibiti usawa wa msingi wa asidi na kupumua. Gesi ya damu ya ateri itapima vitu hivi. Plazma pia huzungusha homoni na kupeleka ujumbe wao kwa tishu mbalimbali. Orodha ya kadiri za kurejelea za kawaida za elektrolaiti mbalimbali ni ndefu.
 
Mifupa hasa huathiriwa na pH ya damu kwa kuwa mara kwa mara hutumika kama chanzo cha madini kwa kukinga pH. Kula kiasi kikubwa cha protini za wanyama na protini ya mimea huhusishwa na kupotea kwa mifupa kwa [[wanawake]]. <ref>{{cite journal |author=Sellmeyer DE, Stone KL, Sebastian A, Cummings SR |title=A high ratio of dietary animal to vegetable protein increases the rate of bone loss and the risk of fracture in postmenopausal women. Study of Osteoporotic Fractures Research Group |journal=Am. J. Clin. Nutr. |volume=73 |issue=1 |pages=118–22 |year=2001 |month=January |pmid=11124760 |doi= |url=http://www.ajcn.org/cgi/content/full/73/1/118}}</ref>
 
===Damu katika wanyama wenye uti wa mgongo wasio binadamu===
Damu ya binadamu inafanana na ile ya mamalia, ingawa maelezo sahihi kuhusu idadi ya seli, ukubwa, muundo wa protini, na kadhalika, huwa tofauti kiasi kati ya aina tofauti ya mamalia. Hata hivyo, kati ya wanyama wenye uti wa mgongo wasio katika kategoria ya mamalia, kuna tofauti kadhaa muhimu: <ref name="VB">{{cite book |author=Romer, Alfred Sherwood|author2=Parsons, Thomas S.|year=1977 |title=The Vertebrate Body |publisher=Holt-Saunders International |location= Philadelphia, PA|pages= 404–406|isbn= 0-03-910284-X}}</ref>
* Seli za damu za wanyama wenye uti wa mgongo wasio mamalia zimetandazwa na zina umbo la yai, na huhifadhi viini vya seli zao
* Kuna tofauti kubwa katika aina na idadi ya seli nyeupe za damu; kwa mfano, asidofili kwa jumla hupatikana zaidi kuliko kwa binadamu
Line 129 ⟶ 131:
[[File:Diagram of the human heart (cropped).svg|thumb|Mzunguko wa damu kupitia moyo wa binadamu]]
{{main|Mfumo wa mzunguko wa damu}}
Damu husambazwa mwilini kupitia vyombo vya damu kwa msukumo wa [[Moyo|moyo.]]. Kwa binadamu, damu husukumwa kutoka ventrikuli thabiti ya kushoto ya moyo na kupitia ateri hadi tishu za pembeni na hurudi kwa atiria ya moyo kupitia mshipa. Baadaye huingia kwenye ventrikali ya kulia kupitia ateri ya mapafu na husukumwa kwa [[Mapafu|mapafu]] na kurudi kwenye atiria ya kushoto kupitia mshipa wa mapafu. Damu kisha inaingia katika ventrikali ya kushoto ili isambazwe tena. Damu ya ateri hubeba oksijeni kutoka kwa hewa iliyovutwa ndani hadi kwa seli zote za mwili, na damu ya vena hubeba dioksidi ya kaboni, bidhaa taka ya metaboli ya [[Seli|seli,]], hadi kwa mapafu ili itolewe nje. Hata hivyo, tofauti moja ni ile ya ateri ya mapafu, iliyo na damu isiyo na oksijeni zaidi mwenye mwili, huku vena za zikiwa na damu yenye oksijeni.
 
Mtiririko wa ziada wa kurudi unaweza kutokana na kusongezwa kwa misuli ya kiunzi cha mifupa ambazo zinaweza kubana vena na kusukuma damu kupitia vali katika vena kuelekea ateri ya kulia.
Line 137 ⟶ 139:
===Uzalishaji na uchakaaji wa seli za damu===
Katika wanyama wenye uti wa mgongo, seli mbalimbali za damu huundwa katika uboho kupitia mchakato unaoitwa hematopoiesia, unaohusisha erithropoesisi, uzalishaji wa seli nyekundu za damu, na mielopesisi, uzalishaji wa seli nyeupe za damu na chembe za kugandisha damu. Wakati wa utotoni, karibu kila mfupa wa binadamu huzalisha seli nyekundu za damu. Katika utu uzima, uzalishaji wa seli nyekundu za damu unafanywa na mifupa mikubwa pekee: miili ya wanyama wenye uti wa mgongo, mfupa wa kidari (sternum), ya mbavu, ya fupanyonga, na mifupa ya sehemu za juu za mikono na miguu. Tukiongezea katika kipindi cha utotoni, tezi la thaimasi, linalopatikana katika mediastinamu, ni chanzo muhimu cha limfosaiti. <ref>{{cite book |author=Williams, Peter W.; Gray, Henry David |title=Gray's anatomy |publisher=C. Livingstone |location=New York |year=1989 |isbn=0-443-02588-6 |edition=37th}}</ref>
Sehemu ya damu yenye protini (ikiwemo protini za kugandisha) huzalishwa hasa na ini, huku homoni zikizalishwa na tezi za mfumo wa mwili na sehemu ya majimaji hudhibitiwa na haipothalamasi na kudumishwa na [[Figo|figo]].
 
Erithrosaiti zenye afya zina maisha ya plazma ya takribani siku 120 kabla hazijadunishwa na wengu, na seli za Kupffer katika [[ini]]. Ini pia huondoa baadhi ya protini, lipidi, na amino asidi . Figo huondoa bidhaa taka na kuzipeleka kwenye mkojo.
 
===Usafirishaji wa oksijeni ===
[[File:Oxyhaemoglobin dissociation curve.png|thumb|Pindo msingi la uloweshwaji wa himoglobiniUnasongezwahimoglobini unasongezwa upande wa kulia katika hali ya kiwango cha juu cha asidi (kiwango cha juu zaidi cha dioksidi ya kaboni) na upande wa kushoto katika hali ya kiwango cha chini cha asidi (kiwango cha chini zaidi cha dioksidi ya kaboni)]]
Kadiri 98.5% ya [[Oksijeni|oksijeni]] katika sampuli ya damu ya ateri katika binadamu mwenye [[afya]] anayepumua kwa kanieneo ya [[bahari]] hushikanishwa kikemikali pamoja na Hgb (Himoglobini). Kadiri 1.5% imeyeyushwa kimwili katika majimaji zingine za damu na haijaunganishwa na Hgb. Molekuli ya himoglobini ndiyo kisafirishaji kikuu cha oksijeni katika miili ya mamalia na aina nyingine nyingi (kwa wanyama wenye mfumo tofauti, angalia hapo chini). Himoglobini ina uwezo wa kuunganisha oksijeni wa kati ya 1.36 na 1.37 ml O <sub>2</sub> kwa gramu ya Himoglobini, <ref>{{cite journal |author=Dominguez de Villota ED, Ruiz Carmona MT, Rubio JJ, de Andrés S |title=Equality of the in vivo and in vitro oxygen-binding capacity of haemoglobin in patients with severe respiratory disease |journal=Br J Anaesth |volume=53 |issue=12 |pages=1325–8 |year=1981 |month=December |pmid=7317251 |doi= 10.1093/bja/53.12.1325|url=}}</ref> ambayo huongeza ujumla wa uwezo wa oksijeni ya damu mara sabini, <ref name="brsphys">{{cite book |author=Costanzo, Linda S. |title=Physiology |publisher=Lippincott Williams & Wilkins |location=Hagerstwon, MD |year=2007 |pages= |isbn=0-7817-7311-3 |oclc= |doi= |accessdate=}}</ref> ikilinganishwa na ikiwa oksijeni pekee ingebebwa kwa umumunyifu wake wa O 0.03 mL kwa lita <sub>2</sub> ya damu kwa sehemu ya shinikizo ya mmHg ya oksijeni (takriban 100 mmHg katika ateri). <ref name="brsphys"></ref>
 
Isipokuwa ateri za mapafu na kitovu na vena zao husika, ateri hubeba damu yenye oksijeni kutoka kwa [[Moyo|moyo]] na kuipeleka kwa mwili kupitia viateri na mishipa ya damu, ambapo oksijeni hutumika; baadaye, venali, na mishipa hubeba damu isiyo na oksijeni na kuirudisha kwa moyo.
 
Katika hali ya kawaida kwa binadamu anayepumzika, himoglobini kwenye damu inayotoka kwenye mapafu ina ukolezo wa kama 98-99% wa oksijeni. Kwa mtu mzima mwenye afya anayepumzika, damu ''isiyo na oksijeni'' inayorudi kwenye mapafu bado ina ukolezo wa takribani 75%. <ref>[38] ^ [http://home.hia.no/~stephens/ventphys.htm Upitishaji hewa safi na Utendaji wa Uvumilivu]</ref> <ref>[39] ^ [http://groups.msn.com/TransplantSupportLungHeartLungHeart/oxygen2.msnw Msaada kuhusu upandikizaji- Mapafu, Moyo/Mapafu, Moyo] vikundi vya MSN</ref> Ongezeko la matumizi ya oksijeni wakati wa mazoezi yanayoendelea hupunguza uloweshwaji wa oksijeni kwenye damu ndani ya vena, ambayo inaweza kufikia chini ya 15% katika mwanariadha aliyepitia mafunzo; ingawa kiwango cha kupumua na mtiririko wa damu huongezeka ili kuifidia, uloweshwaji wa oksijeni kwenye damu ndani ya ateri unaweza kushuka hadi 95% au chini zaidi chini ya hali hii. <ref>{{cite journal |author=Mortensen SP, Dawson EA, Yoshiga CC, ''et al.'' |title=Limitations to systemic and locomotor limb muscle oxygen delivery and uptake during maximal exercise in humans |journal=J. Physiol. (Lond.) |volume=566 |issue=Pt 1 |pages=273–85 |year=2005 |month=July |pmid=15860533 |pmc=1464731 |doi=10.1113/jphysiol.2005.086025 }}</ref> Uloweshwaji wa oksijeni ulio chini hivi ni hatari kwa mtu aliyepumzika (kwa mfano, wakati wa upasuaji akiwa ametiwa ganzi. Haipoksia inayoendelea (uwekaji oksijeni ulio chini ya 90%), ni hatari kwa afya, na haipoksia kali (uloweshwaji wa chini ya 30%) unaweza kusababisha kifo ghafla. <ref>[42] ^ [http://www.manbit.com/PAC/chapters/P30.cfm Mwongozo wa 'St George' kuhusu Katheta ya Ateri ya Mapafu]</ref>
 
Kijusi, kinachopokea oksijeni kupitia kondo, kinafikia kiwango cha chini zaidi cha shinikizo la oksijeni (kama 21% ya kiwango kinachopatikana katika mapafu ya mtu mzima), na hivyo, vijusi huzalisha aina nyingine ya himoglobini yenye mvuto wa juu zaidi kwa oksijeni (Himoglobini F ) ili kufanya kazi katika hali hii. <ref>[43] ^ [http://web.archive.org/web/19990502195422/http://members.aol.com/Bio50/LecNotes/lecnot20.html Ubebaji wa Oksijeni katika Damu - Sehemu za juu kulingana na bahari]</ref>
 
===Usafirishaji wa dioksidi ya kaboni===
Wakati damu inapotiririka kupitia mishipa, dioksidi ya kaboni huenea kutoka kwa tishu hadi kwenye damu. Kiasi kingine cha dioksidi ya kaboni huyeyushwa kwenye damu. Sehemu ya CO <sub>2</sub> huathiriwa na himoglobini na protini zingine na kuunda michanganyiko ya kaboni na amino. Dioksidi ya kaboni iliyobaki inabadilishwa kuwa bikaboneti na Ioniioni za haidrojeni kupitia kitendo cha RBC cha kiondoa maji cha kaboni. Kiasi kikubwa cha dioksidi ya kaboni kinasafirishwa kupitia damu katika muundo wa ioni za bikaboneti.
 
[[Dioksidi kabonia|Dioksidi ya kaboni]] (CO <sub>2),</sub> bidhaa kuu taka kutoka kwa seli hubebwa katika damu ikiwa hasa imeyeyushwa kwenye plazma, kwa kiasi sawa na bikaboneti (HCO <sub>3</sub> <sup>-)</sup> na asidi ya kaboni (H <sub>2</sub> CO <sub>3).</sub> 86-90% ya CO <sub>2</sub> katika mwili hubadilishwa kuwa asidi ya kaboni, ambayo inaweza kubadilika haraka kuwa bikaboneti, ulinganifu wa kemikali ukiwa muhimu katika ukingaji wa pH ya plazma. <ref name="veq"> [http://www.biology.arizona.edu/biochemistry/problem_sets/medph/intro.html Biology.arizona.edu] . Oktoba 2006. ''Uwiano wa kliniki wa viwango vya pH: bikaboneti kama kinga.'' </ref> [[Thamani pH|pH]] ya damu huwekwa katika kadiri ndogo (pH ya kati ya 7.35 na 7.45). <ref name="ReferenceA"></ref>
Line 173 ⟶ 175:
 
===Wanyama wasio na uti wa mgongo===
Kati ya [[Wadudu|wadudu,]], damu (ambayo inaitwa vizuri zaidi inaitwa hemolimfu) haihusishwi katika usafirishaji wa oksijeni. (Mianyamianya inayoitwa bomba za pumzi huruhusu oksijeni kutoka kwa hewa kuenea moja kwa moja hadi kwenye tishu). Damu ya wadudu husafirisha virutubisho hadi kwenye tishu na huondoa bidhaa taka katika mfumo wazi.
 
Wanyama wengine wasio na uti wa mgongo hutumia protini za kupumua ili kuongeza uwezo wa kubeba oksijeni. Himoglobini ndiyo protini ya kupumua inayopatkana sana katika mazingira asili. Himosianini (buluu) ina [[Shaba|shaba]] na inapatikana katika krasteshia na moluska. Inadhaniwa kwamba tuniketi (mnyama wa baharini anayetoa maji kupitia tundu mbili anapoguswa) anaweza kutumia vanabini ([[Protini|protini]] zenye [[Vanadi|vanadiamu)]] kwa [[pigmenti]] ya kupumua (kijani-ng'avu, buluu, au rangi ya machungwa).
 
Kati ya wanyama wengi wasio na uti wa mgongo, protini hizi za kubeba oksijeni huyeyuka kwa urahisi katika damu; kati ya wanyama wenye uti wa mgongo zinapatikana katika seli maalumu nyekundu za damu, zinazoruhusu ukolezi wa juu zaidi wa pigmenti za kupumua bila kuongeza mnato au kuharibu viungo vinavyochuja damu kama vile figo.
 
[[Minyoo]] wakubwa huwa na himoglobini zisizo za kawaida zinazowaruhusu kuishi katika mazingira yasiyo ya kawaida. Himoglobini hizi pia hubeba salfaidi ambazo kwa kawaida ni hatari kwa wanyama wengine.
 
==Rangi==
Line 194 ⟶ 196:
|doi=10.1364/AO.35.001151}}</ref>
 
[[Mjusi]] katika kundi la ''Prasinohaema'' huwa na damu ya kijani kutokana na mkusanyiko wa bidhaa taka inayoitwa bilivedini. <ref>{{cite journal |author=Austin CC, Perkins SL |title=Parasites in a biodiversity hotspot: a survey of hematozoa and a molecular phylogenetic analysis of Plasmodium in New Guinea skinks |journal=J. Parasitol. |volume=92 |issue=4 |pages=770–7 |year=2006 |pmid=16995395 |doi=10.1645/GE-693R.1}}</ref>
 
===Himosianini===
Damu ya moluska wengi - ikiwa ni pamoja na [[sefalopodi]] na [[gastropodi]] - pamoja na baadhi ya wadudu, kama vile kaa aina ya Horseshoe, yenye rangi ya buluu, kwa kuwa ina protini za himosianini zenye ukolezi wa kama gramu 50 kwa lita. <ref name="AHC 2004 p276-7"></ref> Himosianini huwa haina rangi wakati haina oksijeni na ni buluu iliyokoza wakati inapoongezewa oksijeni. Damu inayozunguka ndani ya viumbe hawa, ambao kwa ujumla huishi katika mazingira baridi yenye mivuto ya chini ya oksijeni, huwa ni rangi ya kijivu-nyeupe hadi manjano hafifu, <ref name="AHC 2004 p276-7">{{cite book
|url = http://books.google.com/?id=0OSAKny-6M4C&printsec=frontcover#PRA1-PA276,M1| first = Carl N
|last = Shuster|editor = Shuster, Carl N, Jr; Barlow, Robert B; Brockmann, H. Jane
Line 205 ⟶ 207:
 
==Maradhi==
===Matatizo makuu ya kimatibabukiafya===
* Matatizo ya kiwango
** Jeraha linaweza kusababisha upotezaji wa damu kupitia kutoka damu. <ref>{{cite web|url = http://www.fi.edu/learn/heart/blood/blood.html|title = Blood - The Human heart|publisher = The Franklin Institute|accessdate = 19 March 2009}}</ref> Mtu mzima mwenye afya anaweza kupoteza karibu 20% ya kiasi cha damu (1 L) kabla ya dalili ya kwanza, kutotulia, kuanza, na 40% ya kiasi cha damu(2 L) kabla ya mshtuko. Thrombosaiti ni muhimu kwa ugandishaji na uundaji wa madonge ya damu, ambayo inaweza kusimamisha upotezaji wa damu. Majeraha mabaya kwa viungo vya ndani au kwa mifupa yanaweza kusababisha kutokwa na damu kwa ndani, ambayo wakati mwingine unaweza kuwa kali.
Line 212 ⟶ 214:
* Matatizo ya mzunguko
** Mshtuko ni upiliziaji usio bora wa tishu, na unaweza kusababishwa na hali mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupoteza damu, maambukizi, kupunguka kwa uwezo wa moyo wa kusukuma damu.
** Atherosklerosisi hupunguza mtiririko wa damu kupitia ateri, kwa sababu atheroma huziweka ateri kwenye mistari na kuzifanya nyembamba zaidi. Atheroma huendelea kuongezeka kulingana na umri na kuendelea kwake kunaweza kuhusishwa na sababu nyingi ikiwa ni pamoja na kuvuta sigara, shinikizo la damu, lipidi za ziada zinazozunguka (haipalipidemia), na [[Kisukari|kisukari tamu.]].
** Ugandaji unaweza kuunda mvilio, ambao unaweza kuzuia [[tezi]].
** Matatizo ya mchanganyko wa damu, kitendo cha kusukuma damu cha moyo, au wembamba wa mishipa ya damu kunaweza kuleta matokeo mengi ikiwa ni pamoja na haipoksia (ukosefu wa oksijeni) ya tishu zinazotolewa. Neno ''[[iskemia]]'' linarejelea tishu ambayo imefunikwa na damu, na ''infarction'' inarejelea kukufa kwa tishu (nekrosisi), ambako kunaweza kutokea wakati ugavi wa damu umezibwa (au ni duni sana).
 
===Matatizo ya kihematolojia===
* Upungufu wa damu mwilini
** Idadi ndogo ya seli nyekundu ([[anemia]]) inaweza kusababishwa na kutoka damu, matatizo ya damu kama vile thalasemia, au ukosefu wa virutubishi, na inaweza kuhitaji kuongezewa damu. Nchi kadhaa zina benki ya damu zinazokidhi mahitaji ya damu kwa damu inayoweza kuongezewa. Mtu anayepokea damu lazima awe na aina ya damu iliyo sambamba na ile ya mtoaji damu.
** [[Anemia Selimundu]]
 
* Matatizo ya kuenea upesi kwa seli
** [[Lukemia]] ni kikundi cha [[saratani]] za tishu zinazounda damu.
** Uzalishaji wa seli nyingi nyekundu usiohusiana na kansa (erithremia) au uzalishaji wa chembe nyingi za kugandisha damu (thrombosaitosisi muhimu) kunaweza kusababisha kansa.
** Dalili za Mayelodisplastiki huhusisha uzalishaji duni wa jamii ya seli moja au zaidi.
 
* Matatizo ya ugandishaji
** [[Himofilia]] ni ugonjwa wa kijenetiki kijenetikia unaosababisha utendakazi mbaya katika mojawapo kati ya mifumo ya ugandishaji wa damu. Hii inaweza kuruhusu majeraha ambayo kwa kawaida sio makuu yawe ya kutisha maisha, lakini kwa kawaida zaidi husababisha hemarthrosisi, au utokaji wa damu katika mianya ya maungo, ambao unaweza kusababisha ulemavu.
** Utendakazi mbaya au idadi ndogo ya chembe za kugandisha damu pia unaweza kusababisha ugonjwa wa kugandisha (magonjwa ya kutokwa damu).
** Hali ya kugandishwa damu (ugonjwa wa kuvilia) hutokana na kasoro katika udhibiti wa chembe za kugandisha damu au utendakazi wa kigandiza damu, na unaweza kusababisha mvilio.
 
* Magonjwa ya kuambukizwa kwa damu
** Damu ni chombo kikubwa cha maambukizi. [[Virusi]] vya HIV, vinavyosababisha [[Ukimwi|UKIMWI,]] huambukizwa kupitia mgusano na damu, [[shahawa]], au majimaji mengine yanayotoka mwilini mwa mtu aliyeambukizwaaliyekwishaambukizwa. [[Homa ya manjano]] aina ya B na C husambazwa hasa kwa njia ya mgusano na damu. Kutokana na maambukizi yanayotokana na damu, vitu vilivyo na damu huchukuliwa kama bayohatari.
** Maambukizi ya bakteria kwenye damu ni uwepobakteria au sepsisi. Kuambukizwa virusi ni viremia. [[Malaria]] na [[malale]] ni maambukizi ya damu yanayotokana na [[vimelea]].
 
===Usumisho wa monoksidi ya kaboni===
Dutu zingine bali na oksijeni zinaweza kuungana na himoglobini, wakati mwingine hali hii inaweza kuleta madhara yasiyoweza kubadilishwa kwa mwili. [[Monoksidi ya kaboni]], kwa mfano, ni hatari sana inapobebwa hadi kwenye damu kupitia mapafu kwa kuvuta pumzi, kwa sababu monoksidi ya kaboni hushikana kabisa na himoglobini na kuunda himoglobini kaboksili, hivi kwamba himoglobini kidogo zaidi ina uhuru wa kuungana na oksijeni, na hivyo kiwango cha chni zaidi cha oksijeni kinaweza kusafirishwa katika damu. Hali hii huweza kusababisha kukosekana kwa hewa kwa njia fichu. Moto katika chumba kilichofungwa na kisicho na tundu za kuingiza hewa ni hatari sana, kwa kuwa kinaweza kukusanya monoksidi ya kaboni katika hewa. Kiasi fulani cha monoksidi ya kaboni huungana na himoglobini wakati wa uvutaji wa [[tumbaku]].
 
==Madawa ya matibabutiba==
===Bidhaa za damu===
{{see|Utoaji damu}}
Damu ya kuongezewa hutolewa kutoka kwa binadamu kwa [[uchangaji wa damu]] na kuhifadhiwa katika [[benki ya damu]]. Kuna aina nyingi za damu katika binadamu, mfumo wa kikundi cha damu cha ÅBO, pamoja na mfumo wa kikundi cha damu cha Rhesasi ambayo, ndiyo muhimu zaidi.

Kuongezewa damu ya kikundi kisichokubaliana na kikundi fulanikingine cha damu kunaweza kusababisha matatizo makali, ambayo mara nyingi ni mabaya, kwa hivyo ulinganishaji mtambuko hufanywa ili kuhakikisha kuwa bidhaa ya damu iliyo sambamba inaongezewa.
 
Bidhaa zigine za damu zinazotolewa ndani ya vena ni chembe za kugandisha damu, plazma ya damu, krayopresipiteti, na vikolezo vya sababu maalum za kuganda.
Line 254 ⟶ 258:
 
==Historia==
===DawaTiba rasmi ya Ugiriki===
Katika dawatiba rasmi ya [[Ugiriki]], damu ilihusishwa na [[hewa]], [[majira ya kuchipua]], na kwa [[silika ya uchangamfu]] ''(sanguine)'' . Pia iliaminika kuwa zilizalishwa na [[ini]] pekee.
 
===Matibabu ya Hipokrati===
Katika matibabutiba ya [[[[Hippokrates]]|Hipokrati,]], damu ilichukuliwa kama moja ya viowevu vinne, nyingine zikiwavingine nivikiwa [[kohozi]], [[nyongo njano]], na [[nyongo nyeusi]].
 
==Utamaduni na imani za dini==
Line 270 ⟶ 274:
 
===Upagani katika Indo-Uropa===
Kati ya ma[[kabila]] ya kundi la [[lugha]] zinazohusiana na [[Kijerumani]] (kama vile Anglo-SaksonieSaksoni na NorsemeniNormani), damu ilitumika wakati wa kutoa [[dhabihu]] zao zilizoitwa ''the Blóts''. Damu hii ilikuwa inaaminika kuwa ina uwezo wa chanzo chake, na baada ya kuua mnyama, damu ilinyunyizwa kwenye kuta, juu ya [[sanamu]] za [[miungu]], kwa washiriki wenyewe. Kitendo hiki cha kunyunyiza damu kiliitwa ''bleodsian'' kwa [[Kiingereza cha kale]], na [[istilahi]] hii ilikopwa na [[Kanisa Katoliki]] na kuwa ''kubariki'' na ''[[baraka]].'' Neno la [[Kihiti]] lenye maana ya damu, ''ishar'' lilihusiana na maneno "[[kiapo]]" na "kiunganishi":, tazama [[Ishara]].
[[Ugiriki ya Kale|Wagiriki wa Kale]] waliamini kuwa damu ya miungu, ''ichor,'' ilikuwa ni [[madini]] ambayo ilikuwa [[sumu]] kwa binadamu.
 
Line 300 ⟶ 304:
 
===Mashahidi wa Yehova===
Kulingana na [[tafsiri]] yao ya maandiko, kama vile Matendo 15:28-29 ("Endelea kujitenga ... na damu."), [[Mashahidi wa Yehova]] hawali damu wala kukubali kuongezewa damu yote au sehemu kuu za damu: seli nyekundu za damu, chembechembe nyeupe za damu, chembe za kugandisha damu (thrombositi), na plazma. Wanachama wanaweza kujiamulia binafsi ikiwa watakubali taratibu za matibabu zinazohusisha damu yao wenyewe au [[dutu]] ambazo zinagawanywa zaidi kutoka kwa sehemu nne kuu.<ref>[71] ^ ''The Watchtower'' Juni 15, 2004, ukurasa wa 22, "Be Guided by the Living God" (Kuongozwa na Mungu aliye hai)</ref>
 
===Tamaduni za Kichina na Kijapani===
Line 339 ⟶ 343:
 
==Viungo vya nje==
 
{{wiktionary}}
{{commonscat|Blood|position=left}}
Line 345 ⟶ 348:
[[Category:Damu]]
[[Category:Mwili]]
[[Jamii:Dini]]