Stockholm : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Historia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|be-x-old}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Stockholm old town 2002.jpg|right|250px|thumb|Kitovu cha kale cha Stockholm]]
[[Picha:Stockholm map sketch color.png|thumb||Ramani ya Stockholm]]
'''Stockholm''' (pia Stokolimi) ni [[mji mkuu]] wa [[Uswidi]] na pia [[mji]] mkubwa wa nchi hiihito wenye wakazi 864 ,324 (2011-12-[[31 Desemba]] [[2011]]) ambao pamoja na [[rundiko la mji]] ni watu [[milioni]] 1,.3.
 
Mji uko kwenye [[pwani]] ya [[mashariki]] ya Uswidi ambako [[ziwa Mälaren]] lajiunga na [[Bahari Baltiki]]. [[Kitovu]] cha mji ni [[visiwa]] 14 vinavyotengwa na mifereji yenye [[Daraja|madaraja]].
 
== Historia ==
[[Birger Jarl]] alianzisha Stockholm mnamo mwaka [[1252]] [[BK]] kama [[boma]] la kuzuia [[maharamia]] wasiingie kwenye ziwa Mälaren na kushambulia miji huko. Mji ulianza kukua karibu na boma lile ukawa mji wa [[biashara]] katika [[shirikisho]] la [[Hanse]].
 
Stockholm ilikuwa mji mkubwa lakini si bado mji mkuu kwa sababu [[wafalme]] hawakukaa mahali pa kudumu. [[Gustav Vasa]] alianzisha makazi ya wafalme mjini.
 
{{Mbegu-jio-Uswidi}}
Mstari 14:
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]
[[Jamii:Miji ya Uswidi]]
[[Jamii:Stockholm]]