Papa Silvester I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sylvester I and Constantine.jpg|thumb|right|Papa Silvesta I na [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]].]]
'''Papa Silvester I''' alikuwa [[papa]] kuanzia [[31 Januari]], [[314]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[31 Desemba]], [[335]].
 
'''Papa Silvester I''' alikuwa [[papa]] kuanzia [[31 Januari]], [[314]] hadi kifo chake tarehe [[31 Desemba]], [[335]]. Alimfuata [[Papa Miltiades]] akafuatwa na [[Papa Marko]].
 
[[Mtoto]] wa Rufinus, mkazi wa [[Roma]], hatuna habari nyingi za maisha yake. Ila ni kwamba aliongoza [[Kanisa Katoliki]] kwa muda mrefu mara baada ya [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] kulipatia [[uhuru wa dini]] na kulijengea [[maabadi]] mengi, makubwa na mazuri.
 
Wakati wake ulifanyika [[mtaguso mkuu]] [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea|wa kwanza]] ([[Nisea]], leo nchini [[Uturuki]], [[325]]). Yeye hakuhudhuria, ila alituma wajumbe wawili akathibitisha maamuzi yaliyofikiwa.
 
==Maandishi yake==