Ceuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 98 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5823 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Perejil-neutral.png|thumb|right|250px|Ceuta ([[Hispania]])]]
'''Ceuta''' (tamka: the-uta; kwa [[Kiarabu]]: سبتة ''sabta'') ni [[mji]] wa Ki[[hispania]] ndanikwenye pwani ya eneo[[Mediteranea]] laambao upande wa [[Morokobara]] kwenyeunazungukwa pwanina eneo la [[MediteraneaMoroko]]. Ceuta iko karibu na mji wa [[Tetouan]] upande wa Moroko. Umbali na [[Hispania]] ni 21 [[km]] 21 kuvuka [[mlango wa bahari wa Gibraltar]]. Pamoja na mji wa [[Melilla]] ni sehemu ya [[Hispania]] na [[Umoja wa Ulaya]] kisiasa , lakini kijiografia ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
 
Pamoja na mji wa [[Melilla]] ni sehemu ya [[Hispania]] na [[Umoja wa Ulaya]] [[Siasa|kisiasa]] , lakini [[jiografia|kijiografia]] ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
Ceuta ina wakazi 75.276 katika eneo la 18,5 km².
 
==Watu==
Ceuta ina wakazi 75.276 katika eneo la [[km²]] 18.5. Karibu [[nusu]] ni [[Wazungu]]/[[Wakristo]] na nusu ya pili ni [[Waberber]]-[[Waarabu]]/[[Waislamu]].
 
== Historia ==
Ceuta inaaminika imeundwailiundwa na [[Karthago]] katika [[karne ya tano5 [[KK]]. Jina la [[Kigiriki]] la mji imekuwa "Επτά Αδελφοί" (hepta adelphoí - ndugu saba).

Tangu [[Waroma]] walichukuawalipochukua [[utawala]] wa [[Afrika ya Kaskazini]] mji ulijulikana kwa jina la "Septem Fratres" (ndugu saba). [[Jina]] hili limeendelea hadi leo, mji ukiitwa "sabta" kwa [[Kiarabu]] au kwa matamshi ya [[Kihispania]] "Ceuta".
 
Kuanzia [[karne ya 5 BK]] mji ulitawaliwa na [[Wavandali]].
 
Kuanzia karne ya tano [[BK]] mji umetawaliwa na [[Wavandali]]. Mwaka [[710]] [[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walifika wakipita Ceuta kuvamia Hispania. Hadi [[karne ya 14]] mji ulikuwa chini ya watawala Waislamu ama Waarabu au WaberiberiWaberberi.
 
Mw.Mwaka [[1415]] [[Ureno|Wareno]] waliteka Ceuta wakaitawala hadi mwaka [[1668]]. Baada ya [[vita]] kati ya Ureno na Hispania mji ulikabidhiwa kwa [[mfalme]] wa Hispania.
 
Tangu mwaka [[1668]] Ceuta imekuwa sehemu ya Hispania. Ndani ya Hispania imekuwa Mji wa kujitawala (Kihispania: ciudad autónoma) tangu [[1995]].
 
{{Afrika}}