Melilla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 94 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5831 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Melilla mji.PNG|thumb|right|300px|Ramani ya mji wa Melilla]]
'''Melilla''' (tamka: me-li-ya; kwa [[Kiarabu]]: '''مليلية''', Meliliya; jina rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Melilla) ni [[mji]] wa [[Hispania]] kwenye [[pwani]] ya [[Mediteranea]] unaozungukwa na eneo la [[Moroko]] upande wa bara. Umbali na Hispania bara ni takriban [[km]] 170 kuvuka [[bahari]]. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni [[Nador]] kwenye umbali wa km 15.
 
'''Melilla'''Pamoja (tamka: me-li-ya; Kiarabu: '''مليلية''' meliliya; Rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Melilla) nina mji wa [[HispaniaCeuta]] ndani ya eneo la [[MorokoSiasa|kisiasa]] kwenye pwani la [[Mediteranea]]. Umbali na Hispania bara ni takriban 170 km kuvuka bahari. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni Nador mwenye umbali wa 15 km. Pamoja na mji wa [[Ceuta]] kisiasa ni sehemu ya Hispania na [[Umoja wa Ulaya]], [[Jiografia|kijiografia]] ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
 
==Watu==
Melilla ina wakazi 65,500 (mwaka [[2005]]) katika eneo la 20 [[km²]] 20. Zamani wakazi walio wengi walikuwa [[Wakatoliki]] wawenye asili ya Hispania pamoja na [[Wayahudi]] na [[Uislamu|Waislamu]] [[Waarabu]] au [[Waberber]] wenye asili ya Moroko. Miaka ya nyuma idadi ya Waislamu imeongezeka ambao wengi wao wanapendelea kujiita Waberber kuliko Waarabu; Wayahudi wamepungua sana. Inasemekana ya kwamba wakazi karibu wote wanajiangalia kuwa Wahispania bila kujali kama ni Wakatoliki au Waislamu.
 
[[Uchumi]] unategemea [[uvuvi]] pamoja na [[biashara]] ya mpakani. [[Pesa rasmi]] ni [[Euro]].
 
== Historia ==
[[Historia]] yake ilianza zaidi ya miaka 2000 iliyopita ikaundwa kwa jina la Rusadir. Ikawa sehemu ya [[Dola la Roma]] katika jimbo la [[Mauretania Tingitana]]. Eneo lake lilipiganiwa kuanzia mwaka [[429]] [[BK]] kati ya wavamiajiwavamizi [[Wavandali]] na [[Bizanti]].

Karibu kabla ya mwaka [[700]] BK Waarabu Waislamu walivamia eneo la pwani laya Moroko wakielekea Hispania. Mji ulipata jina la Meliliya ukabaki chini ya [[utawala]] wa kiislamuKiislamu hadi mwaka [[1497]] ulipotekwa na Wahispania.

Wahispania walifaulu kubaki na mji katika [[vita]] mbalimbali za [[karne]] zilizofuata. Mwaka [[1936]] [[vita yavya wenyewe kwa wenyewe]] yavya Hispania ilianzavilianza Melilla kwa uasi wa [[wanajeshi]] dhidi ya [[serikali]] ya Jamhuri ya Hispania.
 
{{Mbegu-jio-Hispania}}