Adriani wa Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Adriani wa Canterbury''' (alifariki tarehe 9 Januari 710) alikuwa mmonaki msomi na hatimaye kwa miaka 39 abati huko Canterbury, [Kent]],...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Adriani wa Canterbury''' (alifariki tarehe [[9 Januari]] [[710]]) alikuwa [[mmonaki]] msomi na hatimaye kwa miaka 39 [[abati]] huko [[Canterbury]], [[Kent]], [[Uingereza]].
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake.
==Life==
 
==Maisha==
Kadiri ya [[Beda Mheshimiwa]], alikuwa [[Waberberi|Mberberi]]<ref>{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=NtoWzDEcmEIC|title=Le Berbère-- lumière de l'Occident|last=Serralda|first=Vincent|last2=Huard|first2=André|date=1984-01-01|publisher=Nouvelles Editions Latines|year=|isbn=9782723302395|location=|pages=147|language=fr|via=}}</ref> kutoka [[Afrika Kaskazini]].
 
Line 12 ⟶ 14:
Adriani akiwa maarufu kwa ujuzi wake wa [[Biblia]], [[Kigiriki]] na [[Kilatini]]
<ref>{{cite book|last=Lapidge|first=Michael|authorlink=Michael Lapidge|title=The Anglo-Saxon Library|year=2006|publisher=Oxford UP|location=Oxford|isbn=9780199239696|pages=33, 87–88}}</ref>, pamoja na kuwa kiongozi bora, alifanya monasteri yake kuwa na athira kubwa.<ref>Bede, ''[[Historia ecclesiastica gentis Anglorum]]'' iv. 1, 2.; and Vita Abbatum Wiramuth., in Smith's Beda, p.&nbsp;293.; W. Malmes. De Pontif. p.&nbsp;340.</ref>
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake.
 
==Tanbihi==
Mstari 32:
[[Category:Wamonaki]]
[[Category:Watakatifu wa Uingereza]]
[[Category:Watakatifu wa Afrika Kaskazini]]