Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d layout
Mstari 36:
===Tanzu za semi===
Semi ina vipera au tanzu sita ambazo ni:
*1*Methali
*2*Vitendawili
*3*Nahau
*4*Misemo
*5*Mafumbo
*6*Mizungu
 
===Methali===
Mstari 49:
 
====Mifano ya methali====
*1*Mcheka kilema,hali hakija mfika.
*2*Kupotea njia, ndiko kujua njia.
*3*Mchelea mwana kulia, utalia wewe.
 
Maana ya methali hutegemea muktadha au wakati maalumu kati jamii.
Mstari 57:
====Kazi za methali====
Methali zina kazi nyingi katika jamii yoyote ile kama vile:
*1*Kuionya jamii inayohusika au inayopewa methali hiyo.
*2*Kuishauri jamii inayopewa au kutamkiwa methali hiyo.
*3*Kuihiza jamii inayohusika.
*4*Kukejeli mambio mbalimbali yanayofanyika ndani ya jamii husika.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 67:
{{mbegu-lugha}}
 
[[CategoryJamii:Fasihi]]