Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 970287 lililoandikwa na Aliwal2012 (Majadiliano)
Mstari 224:
Wengi (79.8%) ni [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mengi sana, hasa ya [[Uprotestanti]]; [[Wakatoliki]] ni 7.1%. [[Dini]] nyingine ni: [[Uislamu]] (1.5%), [[Uhindu]] (1.2%), [[Dini za jadi]] (0.3%) na [[Uyahudi]] (0.2%). Asilimia 15.1 ya watu hawana dini yoyote.
 
Afrika Kusini inaongoza duniani kwa wingi wa watu wenye [[VVU]]/[[UKIMWI]]: mwaka [[2015]] walikuwa (milioni 67.3) Ma[[yatima]] kutokana na [[ugonjwa]] huo ni 1,200,000.
 
== Uchumi ==