Kichaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Kichaka ya Tamarix Aphylla (nchini Israel) Picha:Aralia spinosa, Georgia, USA.jpg|thumbnail|Kichaka cha Aralia Spinosa...'
 
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Aralia spinosa, Georgia, USA.jpg|thumbnail|Kichaka cha Aralia Spinosa, Marekani]]
[[Picha:Buxus sempervirens0.jpg|thumbnail|Kichaka cha Buxus sempervirens, nchi za Mediteranea]]
'''Kichaka''' ni [[mmea]] wa kudumu mwenye [[shina]] la [[ubao]] lakini tofauti na [[mti]] kina mashina zaidi ya moja. Tofauti nyingine ni urefu wake ilhali vichaka kwa kawaida huwa na urefu wa sentimita kadhaa hadi mita 6 hivi.
 
Mimea mingi huweza kutokea ama kama kichaka au kama mti kutegemeana na mazingira yake. Kuna aina za miti mikubwa ambayo, ikikatwa, hukua tena kwa umbo la vichaka.