Uvukizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q132814 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Uvukizaji''' katika [[fizikia]] ni mwendo wa [[kiowevu]] (majimaji) kuwakugeuka [[gesi]].
 
Kuna [[dutu]] kama [[maji]] zinazoanza kuvukiza kabla ya kufikia [[kiwango cha kuchemka]]. Viowevu vyote huvukiza vikifikia kiwango chao cha kuchemka.
 
Kama [[molekuli]] katika kiowevu zinapashwa [[moto]] mwendo wao unaongezeka. Zinagonganagongana na kuachana mbali zaidi hadi kuwa gesi.
 
Katika [[metorolojia]] uvukizaji ni hasa mwendo wa maji kuwa [[mvuke]] au gesi. Mwendo huu ni nguvu muhimu sana katika [[duara ya maji]] [[duniani]]. Maji ya [[Bahari|baharini]] au [[unyevu]] nchini yanapashwavinapashwa moto hasa na [[mionzi]] ya [[jua]] hadi kuwa mvuke unaopanda juu kuwa [[mawingu]].
 
Katika [[metorolojia]] uvukizaji ni hasa mwendo wa maji kuwa [[mvuke]] au gesi. Mwendo huu ni nguvu muhimu sana katika [[duara ya maji]] duniani. Maji ya baharini au unyevu nchini yanapashwa moto hasa na mionzi ya jua hadi kuwa mvuke unaopanda juu kuwa mawingu.
{{mbegu-sayansi}}