Mtende (mti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza mbegu
No edit summary
Mstari 14:
| spishi = nyingi
}}
'''Mitende''' ni [[mti|miti]] mikubwa ya [[jenasi]] ''[[Phoenix]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Arecaceae]]. [[Tunda|Matunda]] huitwa [[tende|matende]].

Asili ya miti hii ni ukanda kutoka [[Visiwa vya Kanari]] kupitia [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Kusini]] mpaka [[Malaysia]] na [[Uchina]] Kusini.

Mti unaojulikana sana ni [[mtende wa kawaida]] na mti huu hupandwa sana katika [[oasisi]] za [[jangwa|majangwa]] ya [[Afrika]] na [[Asia]] na pembezoni kwa majangwa haya.

Spishi nyingine humea katika [[kinamasi|vinamasi]] na [[msitu|misitu]] ya [[mkoko|mikoko]].
 
==Picha==
Line 20 ⟶ 26:
File:Palmera001.jpg|Mtende wa Kanari
File:Gardenology.org-IMG 0976 rbgs10dec.jpg|Mtende wa Uhindi
File:Date Flowers.JPG|[[Maua]] ya kike
File:Dattelpollen.jpg|Maua ya kiume
File:Date Palmtree.jpg|Matende mtini