Baba Tabita

Joined 30 Aprili 2006
d
rekebisha mwaka
No edit summary
d (rekebisha mwaka)
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
 
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 20062016. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya lugha za Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Tarehe 15 Januari 2016 nimefikisha michango [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php?user=Baba%20Tabita 50,000].
62,394

edits