Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 35:
Halijoto ya maji usoni mwa ziwa ni sentigredi 25 °C na uchungu wake ni mnamo [[pH]] 8.4.
Urefu wa ziwa ni 676 [[Mita|km]] kutoka kaskazini hadi kusini na upana wake ni 50 km kwa wastani. Uso wa maji huwa na eneo la 32,900 [[Kilomita ya mraba|km<sup>2</sup>]] na urefu wa pwani lake ni 1,828 km. <ref>
Kina kikubwa cha ziwa kimesababisha kuwepo kwa safu za maji zisizochanganya maana maji ya chini hayakorogwi kwa upepo au mikondo na maji ya juu hivyo maji ya chini hayapokei oksijeni na kuwa na uhai kidogo. Samaki na viumbe vingi haviwezi kuishi katika maji bila oksijeni.
|