Zoolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Aina nyingi za wanyama '''Zoolojia''' (tamka zo-o-lo-jia, kutoka Gir. ζῷον ''zóon'' "mnyama, kiumbe hai" na...'
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Animal diversity.png|thumbnail|Aina nyingi za wanyama]]
'''Zoolojia''' (tamka zo-o-lo-jia, kutoka [[GirKigiriki|gir.]] ζῷον ''zóon'' "mnyama, kiumbe hai" na λόγος ''logos'', "neno, fundisho“) ni tawi la [[biolojia]] linalochunguza [[wanyama]], hasa wanyama wenye [[seli]] nyingi ([[metazoa]]).
 
Zoolojia linatumia mbinu mbalimbali za kisayansi likichungulia maumbile na miili ya wanyama, michakato ndani ya miili, historia ya [[mageuko ya spishi]] za wanyama, [[jenetiki]] yao, usambazaji wao katika maeneo ya dunia, uhusiano wao na mazingira ([[ekolojia]]) na jinsi gani wanyama wanahusiana kati yao. Zoolojia imeunda mfumo wa kupanga wanyaa wote kwa vikundi ([[uainishaji wa kisayansi]]) na kuendelea utaratibu huu.