Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Marejeo: visiwa
Mstari 43:
Mto mkubwa zaidi unaoingia ni [[Ruzizi (mto)|Ruzizi]] unaofika upande wa kaskazini kutoka [[Ziwa Kivu]]. [[Malagarasi (mto)|Malagarasi]] ambayo ni mto mrefu wa pili nchini Tanzania inaingia upande wa mashariki.
 
Kutokana na mahali pake katika [[tropiki]] penye jua kali Ziwa Tanganyika linapotea maji mengi kwa njia ya [[uvukizaji]]. Kwa hiyo kiasi cha maji ndani yake inategemeana na kiasi cha maji yanayoingia. Kwa sasa chanzo kikubwa ni maji ya Ziwa Kivu. Imegunduliwa ya kwamba uwiano wa ziwa ulibadilika sana katika historia. <ref>[https://books.google.de/books?id=C_ABrmnsKY4C&printsec=frontcover&dq=L%C3%A9v%C3%AAqu,+Christian&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwibw9GtyJTQAhVCJsAKHYBLDWwQuwUINTAC#v=onepage&q=L%C3%A9v%C3%AAqu%2C%20Christian&f=false<nowiki> tazama Christian Lévêque, Biodiversity Dynamics and Conservation: The Freshwater Fish of Tropical Africa], Cambridge University Press 1997, uk. 109 ff</nowiki>
Miji mikubwa ziwani ni mabandari ya [[Kigoma]] kwa upande wa Tanzania na [[Kalemie]] kwa upande wa Kongo. Kila [[bandari]] ni pamoja na mwanzo wa njia ya reli. Mji mkubwa kabisa ni [[Bujumbura]] mji mkuu wa [[Burundi]].
 
von C.
</ref> Mnamo miaka 200,000 iliyopita uso wa ziwa ulikuwa mita 600 chini ya uwiano wa leo. Wakati wa vipindi vya tabianchi yenye mvua nyingi zaidi uwiano ulipanda juu, na kupungua tena kwenye vipndi vya ukame. Vipindi hivi vya mabadiliko vilidumu mara kwa mara miaka mielfu kadhaa. Hali ya sasa imepatikana tangu miaka 12,000. Wakati ule [[volkeno za Virunga]] vililipuka na kuziba mto uliowahi kubeba maji ya Ziwa Kivu kuelekea [[mto Naili]] na baada ya kufikia uwiano wa leo maji ya Kivu yalianza kutoka upande wa Tanganyika kupitia njia ya Ruzizi.
 
Miji mikubwa ziwani ni mabandari ya [[Kigoma]] kwa upande wa Tanzania na [[Kalemie]] kwa upande wa Kongo. Kila [[bandari]] ni pamoja na mwanzo wa njia ya reli. Mji mkubwa kabisa ni [[Bujumbura]] mji mkuu wa [[Burundi]].
 
Eneo lote la ziwa limegawiwa baina ya nchi jirani. Sehemu kubwa iko chini ya Tanzania (46%) and J.D. Kongo (40%).
 
=== Visiwa ===
Kuna visiwa mbalimbali ndani ya ziwa Tanganyika. Vikubwa zaidi ni pamoja na
* Visiwa vya Kavala, Mamba-Kayenda, Milima na Kibishie katika sehemu ya J.D. Kongo
* Visiwa vya Mutonowe na Kumbula katika sehemu ya Zambia
* Kisiwa cha Lupita katika sehemu ya Tanzania
 
==Marejeo==