Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
| picha = Lake tanganyika.jpg
| maelezo_ya_picha = Ziwa Tanganyika jinsi inavyoonekana kutoka angani
| mahali = [[Afrika ya Mashariki]]
| nchi = [[Burundi]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo]], <br />[[Tanzania]], [[Zambia]]
| eneo = km² 32,893 km² kutegemeana na kiasi cha mvua
| kina = kuanzia m 3.5 m
| mito inayoingia = [[Lufubu]], [[Malagarasi]], [[Ruzizi]]
| mito inayotoka = [[Lukuga]]
| kimo = 782 m 782
| miji = [[Bujumbura]], [[Kalemie]], [[Kigoma]]
}}
Mstari 32:
Stanley alishika pia majina ya ziwa kwa [[Kabila|makabila]] mengine- watu wa [[Marungu]] walisema "Kimana", wale wa [[Urungu]] "Iemba" na [[Wakawendi]] "Nsaga" kwa maana "ziwa lenye dhoruba". Alichoshika na watu wa Urungu, yaani "Iemba", inalingana na taarifa ya [[David Livingstone]] aliyekuta jina "Liemba" kuwa jina la sehemu ya [[kusini]] ya ziwa na jina hili linaendelea kutumiwa kwa [[meli]] ya [[MV Liemba]] inayosafirisha watu na [[bidhaa]] ziwani tangu mwaka [[1914]].
 
==== Jiografia ====
Maji ya Ziwa Tanganyika yanajaza [[ufa]] kubwa kwenye [[ganda la dunia]] ambalo ni sehemu ya [[bonde la ufa la Afrika ya Mashariki]]. Ni ziwa lenye kina kikubwa katika Afrika. Kina cha [[wastani]] ni [[Mita|m]] 570, ni kubwa zaidi katika sehemu ya [[kaskazini]] ambako vilindi vyake hufikia kina cha mita 1470. Kutokana na kina kikubwa kinashika kiwango kikubwa cha maji matamu kati ya maziwa yote ya Afrika (18,900 [[Mita ya ujazo|km³]]) na [[asilimia]] 16 ya maji matamu yote duniani.
 
Mstari 73:
Ziwani kuna pia spishi nyingi za pekee za [[konokono]] na [[kaa]] pamoja na [[crustacea]] nyingine.
 
==Uchumi==
===Uvuvi===
Tasnia muhimu katika eneo la ziwa ni [[uvuvi]]. Inakadiriwa ya kwamba baina ya 25–40[[%]] za [[protini]] katika [[chakula]] cha [[milioni]] 1 ya watu wanaoishi kule ni kutoka samaki wa ziwani<ref>[http://data.mongabay.com/external/lake_tanganyika_warming.htm Lake Ecosystem Critical to East African Food Supply Is Threatened by Climate Change] , taarifa ya National Science Foundation (NSF) kupitia tovuti ya www.mongabay.com, iliangaliwa 6 Novemba 2016 </ref>.
Line 81 ⟶ 80:
Samaki wa ziwani wanauzwa kote [[Afrika ya Mashariki]]. Katika [[miaka ya 1950]] uvuvi wa kibiashara ulianzishwa ziwani ukasabisha kupotea kwa samaki: kufikia mwaka [[1995]] mavuno ya samaki yalipungua hadi [[tani]] 180,000. Kampuni nyingi za uvuvi zilizostawi katika [[miaka ya 1980]] ziliporomoka.
 
===Usafiri===
[[Usafiri]] ni mgumu kufikia Ziwa Tanganyika kutoka miji mikuu ya nchi zao.