Uchumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Uchumi''' ni jumla ya shughuli zote za [[binadamu]] zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa shughuli za [[uzalishaji]], [[usambazaji]] na [[utumiaji]] wa [[bidhaa]] pamoja na kutolewa kwa [[huduma]] kwa njia mbalimbali.
 
Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za [[kijiji]], [[eneo]], [[taifa]] au [[dunia]].
 
Hii[[Sayansi ya Uchumi]] (kwa [[Kiingereza]] ''economics'') ni mkono[[tawi]] wala elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.
 
== Sekta za uchumi ==
Line 15 ⟶ 17:
 
* [[Wataalamu]] wengine hutaja sekta ya nne: shughuli za kusambaza [[habari]] na pia [[utafiti]] wa [[teknolojia]] mpya unaoendelea kuwa muhimu katika [[nchi zinazoendelea]]. Wengine huingiza pia [[elimu]] (kazi za [[shule]] na [[vyuo]]) katika sekta hii ya uchumi.
 
== Badirisho la Pesa ==
 
Fedha za kiafrica:
 
1 Libya _) 9.5 N$
 
444 Sudan _) 2,428 USh.(EA Shilling)
 
== [[Sayansi ya Uchumi]] (economics) ==
Hii ni mkono wa elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.
 
{{mbegu-uchumi}}