Tofauti kati ya marekesbisho "Fonolojia"

96 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
(+sawazisho dogo tu)
'''Fonolojia''' (hasa huitwa '''Sarufi Matamshi''') ni [[tawi]] la [[sayansi]] ya [[isimu]]. Inashughulikia [[uchunguzi]] wa [[mfumo wa sauti]] katika [[lugha]] fulani, kwa mfano ugawanyaji wa [[irabu]] na [[konsonanti]]. Ala za sauti (vipashio vya utamkaji) zinatumika katika utamkaji wa fonimu (vitamkwa) za lugha husika. Mkondo wa hewa wakati wa utamkaji. Kuwepo na kutokuwepo kwa mguno wakati wa utamkaji (guna/siguna). Utanzu huu hushughulikia kanuni zinazotawala uchambuzi wa mfumo wa sauti, yaani, sauti kutamkwaje na wapi katika kinywa cha mwanadamu.
 
Ala za [[sauti]] ([[vipashio]] vya utamkaji) zinatumika katika utamkaji wa [[fonimu]] (vitamkwa) za lugha husika. Mkondo wa hewa wakati wa utamkaji. Kuwepo na kutokuwepo kwa mguno wakati wa utamkaji (guna/siguna).
Matokeo ya uchunguzi wa kifonolojia yana umuhimu katika kubuni [[alfabeti]]. Dhana ya fonolojia inajipambanua vizuri zaidi ikifasiliwa kwa kutofautishwa na fonetiki. Wakati fonetiki ni taaluma inayochunguza sauti zitamkwazo na binadamu bila kuzihusisha na lugha yoyote, fonolojia huchunguza mfumo wa sauti wa lugha mahususi kama vile sauti za Kiswahili, Kiingereza, Kimwera, na Kinyaturu. ZINGATIA: Fonetiki huchunguza sauti zote zitamkwazo na binadamu; fonolojia huchunguza MFUMO WA SAUTI wa lugha mahususi.
 
[[Utanzu]] huu hushughulikia kanuni zinazotawala uchambuzi wa mfumo wa sauti, yaani, sauti kutamkwaje na wapi katika [[kinywa]] cha [[mwanadamu]].
Hivyo, fonetiki huchunguza sauti nyingi kadri iwezekanavyo, lakini fonolojia huchunguza sauti chache tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha husika. Mathalani, mfumo wa sauti wa lugha ya Kiswahili una sauti thelathini tu (irabu tano na konsonanti ishirini na tano).
 
Matokeo ya uchunguzi wa kifonolojia yana umuhimu katika kubuni [[alfabeti]].
Jambo lingine la kuzingatia ni vipashio vya kiuchambuzi vya matawi haya mawili. Wakati fonetiki kipashio chake cha msingi ni FONI, fonolojia kipashio chake cha msingi ni FONIMU. Kwa kuzingatia maelezo ya hapo awali, ni wazi kuwa FONI ni nyingi zaidi kuliko FONIMU, kwakuwa FONI ni kila sauti itamkwayo na binadamu, wakati FONIMU ni sauti zile tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha mahususi. Hivyo, kuna FONIMU za Kiswahili, za Kiingereza, za Kichina, n.k., lakini FONI si za lugha yoyote na wala uwezi sema kwa uhakika kuna FONI ngapi, kwakuwa bado kuna lugha nyingi duniani ambazo bado hazijatafitiwa.
 
Matokeo ya uchunguzi wa kifonolojia yana umuhimu katika kubuni [[alfabetiDhana]]. Dhana ya fonolojia inajipambanua vizuri zaidi ikifasiliwa kwa kutofautishwa na [[fonetiki]]. Wakati fonetiki ni [[taaluma]] inayochunguza sauti zitamkwazo na binadamu bila kuzihusisha na lugha yoyote, fonolojia huchunguza mfumo wa sauti wa lugha mahususi kama vile sauti za [[Kiswahili]], [[Kiingereza]], [[Kimwera,]] na [[Kinyaturu]]. ZINGATIA:Kwa Fonetikiufupi, fonetiki huchunguza sauti zote zitamkwazo na binadamu; fonolojia huchunguza MFUMOmfumo WAwa SAUTIsauti wa lugha mahususi.
 
Hivyo, fonetiki huchunguza sauti nyingi kadrikadiri iwezekanavyo, lakini fonolojia huchunguza sauti chache tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha husika. Mathalani, mfumo wa sauti wa lugha ya Kiswahili una sauti [[thelathini]] tu (irabu [[tano]] na konsonanti [[ishirini na tano]]).
 
Jambo lingine la kuzingatia ni vipashio vya kiuchambuzi vya matawi haya mawili. Wakati fonetiki kipashio chake cha msingi ni FONI, fonolojia kipashio chake cha msingi ni FONIMU. Kwa kuzingatia maelezo ya hapo awali, ni wazi kuwa FONI ni nyingi zaidi kuliko FONIMU, kwakuwakwa kuwa FONI ni kila sauti itamkwayo na binadamu, wakati FONIMU ni sauti zile tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha mahususi. Hivyo, kuna FONIMU za Kiswahili, za Kiingereza, za [[Kichina]], n.k., lakini FONI si za lugha yoyote na, wala uwezihuwezi semakusema kwa uhakika kuna FONI ngapi, kwakuwakwa kuwa bado kuna lugha nyingi [[duniani]] ambazo bado hazijatafitiwa.
== Marejeo ==