Isimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Tazama pia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|bn}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
'''Isimu''' (au "maarifa ya lugha") ni [[sayansi]] inayochunguza [[lugha]]. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:
* [[fonetiki]] kuhusu [[sauti]] zinazotolewa na [[binadamu]]
* [[fonolojia]] kuhusu [[mfumo wa sauti]] katika lugha fulani
* [[mofolojia]] kuhusu mfumo wa maneno
* [[sintaksi]] kuhusu mfumo wa [[sentensi]]
* [[semantiki]] kuhusu maana
 
Mstari 13:
* [[Lango:Lugha|Lango la lugha]]
 
{{mbegu-sayansilugha}}
 
[[Jamii:Isimu|*]]