Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Lion_waiting_in_Nambia.jpg with File:Lion_waiting_in_Namibia.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: typo, error in file name).
No edit summary
Mstari 24:
''[[Panthera l. senegalensis]]''
}}
'''Simba''' ([[jina la kisayansi]]: ''Panthera leo'') ni [[mnyama]] mkubwa [[mla nyama]] wa [[familia]] ya felidae katika [[ngeli]] ya [[mamalia]]. Maana yake ni kwamba simba hufanana na [[paka]] mkubwa.
 
Siku hizi simba wako hasa [[Afrika]] [[kusini]] kwa [[Sahara]].
Siku hizi simba wako hasa [[Afrika]] kusini ya [[Sahara]]. Simba wa [[Asia]] walipatikana zamani kati ya [[Uturuki]] na [[Bangladesh]] lakini ni wanyama 300 pekee waliobaki katika hifadhi ya wanyama huko [[Gujarat]] nchini [[Uhindi]]. Nususpishi nyingine zilikuwepo Ulaya na pia Afrika ya kaskazini lakini zote zimekwisha kwa sababu waliwindwa vikali.
 
Siku hizi simba wako hasa [[Afrika]] kusini ya [[Sahara]]. Simba wa [[Asia]] walipatikana zamani kati ya [[Uturuki]] na [[Bangladesh]] lakini ni wanyama 300 pekee waliobaki katika [[hifadhi ya wanyama]] huko [[Gujarat]] nchini [[Uhindi]]. Nususpishi nyingine zilikuwepo Ulaya na pia Afrika ya kaskazini lakini zote zimekwisha kwa sababu waliwindwa vikali.
Chakula chao ni [[nyama]] inayopatikana kwa kuwinda wanyama. Tofauti na paka wengine simba huishi na kuwinda katika vikundi vyenye wanyama 10-20. Kila kundi lina eneo lake na kuitetea dhidi ya simba wengine.
 
[[Nususpishi]] nyingine zilikuwepo [[Ulaya]] na pia [[Afrika ya kaskazini]] lakini zote zimekwisha kwa sababu waliwindwa vikali.
Dume anafikia urefu wa mwili pamoja na kichwa wa sentimita 170 hadi 250; kimo cha mbegani ni 120 [[cm]]. Dume mkubwa anaweza kuwa na uzito wa kilogramu 225. Jike ni mdogo wake akiwa na urefu wa 140 hadi 175 cm, kimo cha mbegani cha 100 cm na uzito wa 150 kg.
 
[[Chakula]] chao ni [[nyama]] inayopatikana kwa kuwinda wanyama. Tofauti na paka wengine, simba huishi na kuwinda katika vikundi vyenye wanyama 10-20. Kila kundi lina eneo lake na kuitetea dhidi ya simba wengine.
Dume anatofautishwa kirahisi kutokana na manyoya marefu ya shingoni ilhali jike hana.
 
[[Dume]] anafikia [[urefu]] wa [[mwili]] pamoja na [[kichwa]] wa [[sentimita]] 170 hadi 250; [[kimo]] cha mbeganimabegani ni 120 [[cm]] 120. Dume mkubwa anaweza kuwa na [[uzito]] wa [[kilogramu]] 225. [[Jike]] ni mdogo wake akiwa na urefu wa 140 hadi 175 cm, kimo cha mbeganimabegani cha 100 cm 100 na uzito wa 150 kg 150.
Jike anaanza kuzaa akifikia umri wa miaka 2-3. Baada ya kuwa mzito kwa miezi 3 1/2 anazaa wadogo 2-3. Wakati mwingine idadi hii inaweza kuwa hadi wadogo 6 lakini wanaozidi 3 kwa kawaida wanakufa mapema.
 
Dume anatofautishwa kirahisi kutokana na [[unyoya|manyoya]] marefu ya [[Shingo|shingoni]] ilhali jike hana.
Katika filamu [[:en:The Walt Disney Company|Walt Disney Pictures]] ''[[The Lion King]]'', mhusika, kijana simba cub, ni aitwaye [[:en:Simba|Simba]].
 
Jike anaanza kuzaa akifikia [[umri]] wa miaka 2-3. Baada ya kuwa mzito kwa miezi 3 1/2 anazaa wadogo 2-3. Wakati mwingine [[idadi]] hii inaweza kuwa hadi wadogo 6 lakini wanaozidi 3 kwa kawaida wanakufa mapema.
 
== Utangulizi ==
Simba ( Panthera leo) ni miongoni mwa wale paka wakubwa wane wa jenasi Panthera, na mmoja wa familia ya Felidae. Kwa kuwa na baadhi ya simba dume wanaozidiwanazidi kg 250 kwa uzito, wanakuwa ndio paka wa pili kwa ukubwa baada ya [[tiger]]. http://en.wikipedia.org/wiki/Lion#cite_note-nowak-3]. simbaSimba wa porini wanapatikana huko nchi za Nusu-Jangwa Sahara katika Afrika na Asia na kwa kiasi kidogo sana huko India, kisha kupotea katika Afrika ya Kaskazini, [[Mashariki ya kati]] na MagharibuiMagharibi yamwa Asia nyakati za hisoria[[historia]]. Karibu miaka 10,000 iliyopita, simba walikuwa ndio wanyama wanwa chinchi kavu waliotawanyika zaidi baada ya [[binadamu]]. Walipatikana hasa Afrika, Mashariki yamwa Ulaya mpaka Asia, na [[Amerika]] kuanziaYukonkuanzia mapka[[Yukon]] mpaka [[Peru]].
 
Simba huishi kwa wastani wa miaka 10-14 mwituni, huku katika hifadhi huweza hata kufika zaidi ya miaka 20. Mwituni, simba dume ni marachachemara chache kuishi zaidi ya miaka [[kumi]], sababu ya majeraha wanayoyapata kutokanakwa kupigana na kupiganadume wengine mara kwa mara na dume wengine. [http://en.wikipedia.org/wiki/Lion#cite_note-4] Hupatikana sana katika [[savanna]] na [[nyika]], ingawa pia huweza kukaa kwenye [[misitu]] na [[vichaka]]. Simba tofauti na paka wengine, huweza kuchangamana kwa urahisi. Kundi la simba hujumuisha simba jike ndugu kadhaa na watoto na idadi ndogo ya simba dume wakubwa. Kundi la simba jike huwinda pamoja, hasa huwinda wanyama wenye kwato. Simba huwinda wao wenyewe japo mara kadhaa huonekana wakijilisha kwa mizoga. Wakati simba kwa kawaida hawawindi binadamu, wachache wameripotiwa kula binadamu na hivyo kuwinda binadamu.
 
Simba, tofauti na paka wengine, huweza kuchangamana kwa urahisi. Kundi la simba hujumuisha simba jike ndugu kadhaa na watoto na idadi ndogo ya simba dume wakubwa. Kundi la simba jike huwinda pamoja, hasa huwinda wanyama wenye [[kwato]]. Simba huwinda wenyewe japo mara kadhaa huonekana wakijilisha [[mzoga|mizoga]]. Wakati simba kwa kawaida hawawindi binadamu, wachache wameripotiwa kumla na hivyo kumwinda.
Simba ni miongoni mwa spishi iliyohatarini kutoweka, na kuonekana kupungua kutoka kwa aslimia 30 mpaka hivi sasa kwa asilimia 50. [6] Japo sababu kubwa ya kupungua huku haijulikani, kupungua kwa uoto na mwingiliano na binadamu huonwa kama sabau kubwa za kupungua kwao. Tangu enzi za Roma, simba wamekuwa spishi kuu iinayotafutwa kwaajili ya maonesho kwenye [zoo] duniani hasa tangu mwishoni mwa karne ya kumi na nane. Spishi za Asia ndizo zilizoathirika sana na suala hili.
 
Simba ni miongoni mwa spishi iliyohatariniiliyo hatarini kutoweka, na kuonekana kupungua kutoka kwa aslimiaasilimia 30 mpaka hivi sasa kwa asilimia 50. [6] Japo sababu kubwa ya kupungua huku haijulikani, kupungua kwa [[uoto]] na mwingiliano na binadamu huonwa kama sabau kubwa za kupungua kwao. Tangu enzi za [[Roma ya Kale]], simba wamekuwa spishi kuu iinayotafutwainayotafutwa kwaajilikwa ajili ya maonesho kwenye [zoo] duniani, hasa tangu mwishoni mwa [[karne ya kumi na nane18]]. Spishi za Asia ndizo zilizoathirika sana na suala hilihilo.
== Uanishaji na mabadiliko ==
Fuvu la simba la kale zaidi lilipatikana Laetoli, Tanzania na ni la karibu miaka milioni 3.5 iliyopita. Wanasayansi waliita mabaki haya Panthera leo. Rekodi hizi hazijathibitishwa sana na kinachoweza kusemwa ni kuwa zinakaribiana na zile za Panthera. Panthera aliyethibitishwa ni yule wa miaka milioni 2 iliyopita. Spishi nyingine zilizokaribi na Panthera ni : tiger, jaguar, na chui. Tafiti za miumbo na chembe za uhai zinaonesha kuwa tiger ndio ilikuwa spishi ya kwanza kutokea miongoni mwa hizi za wakati huu. Miaka milioni 1.9 iliyopita jaguar alijitokeza, ambaye kutoka kwake ndiyo tunapata chui na simba. Simba na chui walitengana kamili miaka milioni 1.25 iliyopita.
 
== Uanishaji na mabadilikomageuko ==
Panthera leo alijitokeza Afrika miaka milioni 1.8 iliyopita, kabla ya kusambaa Afrika kwenye ukanda wa Holarctic. Kwa mara ya kwanza ilionekana Ulaya miaka 700, 000 iliyopita na huko Amerika miaka 300, 000.
[[Picha:Panthera leo Kruger Skull.jpg|thumb|[[Fuvu la kichwa]] la simba wa sasa huko Kruger National Park]]
[[Fuvu]] la kale zaidi la simba lilipatikana [[Laetoli]], [[Tanzania]], na ni la karibu miaka [[milioni]] 3.5 iliyopita. [[Wanasayansi]] kadhaa waliita [[mabaki]] haya Panthera leo. Rekodi hizi hazijathibitishwa sana na kinachoweza kusemwa ni kuwa zinakaribiana na zile za Panthera. Panthera aliyethibitishwa ni yule wa miaka milioni 2 iliyopita.
 
Fuvu la simba la kale zaidi lilipatikana Laetoli, Tanzania na ni la karibu miaka milioni 3.5 iliyopita. Wanasayansi waliita mabaki haya Panthera leo. Rekodi hizi hazijathibitishwa sana na kinachoweza kusemwa ni kuwa zinakaribiana na zile za Panthera. Panthera aliyethibitishwa ni yule wa miaka milioni 2 iliyopita. Spishi nyingine zilizokaribi nazilizokaribia Panthera ni : tiger, [[jaguar,]] na [[chui]]. Tafiti za miumbo na [[chembe za uhai]] zinaonesha kuwa tiger ndio ilikuwa spishi ya kwanza kutokea miongoni mwa hizi za wakati huu. Miaka milioni 1.9 iliyopita jaguar alijitokeza, ambaye kutoka kwake ndiyo tunapata chui na simba. Simba na chui walitengana kamili miaka milioni 1.25 iliyopita.
== Tabia za maumbile ==
[[Picha:Panthera leo Kruger Skull.jpg|thumb|Fuvu la kichwa la simba wa sasa huko Kruger National Park]]
 
Panthera leo alijitokeza Afrika miaka milioni 1.8 iliyopita, kabla ya kusambaa Afrika kwenye ukanda wa Holarctic. Kwa mara ya kwanza ilionekana Ulaya miaka 700, 000 iliyopita na huko Amerika miaka 300, 000 iliyopita.
Kwa felines wote simba ndiyo mrefu ( mabegani), na ndio wa pili kwa uzitop baada ya tiger. Kwa miguu yake yenye nguvu, taya imara, na meno yake chonge yenye urefu was m 8, simba anaweza akamwangush na kumuua myama mkubwa. Fuvu la kichwa la simba linafanana sana na lile la tiger, hivyo tofauti ya taya zao za chini ndio pekee hutumika kuwatofautisha. rangi ya simba hubadilika kutoka rangi ya kimanjano mpaka njano, nyekundu na kahawia ya kukoza. Sehemu za chini huwa na rangi angavu na kishungi cha mkia wake ni cheusi. Watoto wa simba huzaliwa na madoa meusi mwilini mwao, kama vile wale wa chui. Japokuwa madoa haya hupotea taratibu wakati wakikua, baadhi ya madoa haya huendelea kuonekana miguuni na sehemu za chini za mwili, hasa kwa simba jike.
 
Miongoni mwa jamii ya paka, simba ndiyo pekee wenye tofauti ya moja kwa moja ya muonekano baina ya dume na jike. Simba dume na simba jike huonekana tofauti kabisa. Pia wana kazi tofauti wanazofanya katika makundi yao. Kwa mfano, simba jike, wawindaji, hawana nywele kichwani kama ilivyo kwa simba dume. Huonekana kumzuia simba jike wakati anapokuwa ananyatia mnyama na kusababisha joto zaidi wakati wa kukimbiza windo lake. Rangi ya nywele za simba dume ni tofauti kuanzia ile kama ya dhahabu mpaka nyeusi, na mara nyingi huwa nyeusi zaidi kadiri simba anavyozeeka.
 
== Tabia za maumbile ==
[[Picha:HansomeLion 002.jpg|thumb|Wakati wa kugombana na wengine, nywele za simba humfanya aonekane mkubwa.]]
Kati ya wanyama wote wa jamii ya paka, simba ndiyo mrefu (mabegani), na ndio wa pili kwa uzito baada ya tiger. Kwa [[miguu]] yake yenye nguvu, [[taya]] imara, na [[meno]] yake chonge yenye urefu wa sm 8, simba anaweza akamwangusha na kumuua myama mkubwa. Fuvu la kichwa la simba linafanana sana na lile la tiger, hivyo tofauti ya taya zao za chini ndio pekee hutumika kuwatofautisha.
 
Kwa felines wote simba ndiyo mrefu ( mabegani), na ndio wa pili kwa uzitop baada ya tiger. Kwa miguu yake yenye nguvu, taya imara, na meno yake chonge yenye urefu was m 8, simba anaweza akamwangush na kumuua myama mkubwa. Fuvu la kichwa la simba linafanana sana na lile la tiger, hivyo tofauti ya taya zao za chini ndio pekee hutumika kuwatofautisha. rangi[[Rangi]] ya simba hubadilika kutoka rangi ya kimanjano[[manjano]] mpaka [[njano]], [[nyekundu]] na [[kahawia]] ya kukoza. Sehemu za chini huwa na rangi angavu na kishungi cha [[mkia]] wake ni cheusi. Watoto wa simba huzaliwa na madoa meusi mwilini mwao, kama vile wale wa chui. Japokuwa madoa haya hupotea taratibu wakati wakikua, baadhi ya madoa haya huendelea kuonekana miguuni na sehemu za chini za mwili, hasa kwa simba jike.
Uzito wa simba wakubwa ni kati ya kg 150 – 250 kwa dume na kg 120 – 182 kwa jike. Simba huwa na ukubwa tofauti kulingana na mazingira na eneo, kusababisha tofauti mbalimbali za rekodi za uzito. Kwa mfano, simba wa kusini mwa Afrika wameonekana kuwa wazito mara tano zaidi ya wale wa Afrika Mashariki, kwa ujumla.
 
Miongoni mwa jamii ya paka, simba ndiyondio pekee wenye tofauti ya moja kwa moja ya muonekano baina ya dume na jike. Simba dume na simba jike huonekana tofauti kabisa. Pia wana kazi tofauti wanazofanya katika makundi yao. Kwa mfano, simba jike, wawindaji, hawana [[nywele]] kichwani kama ilivyo kwa simba dume. Huonekana kumzuia simba jike wakati anapokuwa ananyatia mnyama na kusababisha [[joto]] zaidi wakati wa kukimbiza windo lake. Rangi ya nywele za simba dume ni tofauti, kuanzia ile kama ya [[dhahabu]] mpaka [[nyeusi]], na mara nyingi huwa nyeusi zaidi kadiri simba anavyozeeka.
 
Uzito wa simba wakubwa ni kati ya kg 150 – 250 kwa dume na kg 120 – 182 kwa jike. Simba huwa na ukubwa tofauti kulingana na mazingira na eneo, kusababisha tofauti mbalimbali za rekodi za uzito. Kwa mfano, simba wa [[kusini mwa Afrika]] wameonekana kuwa wazito mara [[tano]] zaidi ya wale wa [[Afrika Mashariki]], kwa ujumla.
Urefu wa kichwa na mwili ni sm 170 – 250 kwa dume na sm 140 – 175 kwa jike; urefu wa [[bega]] ni sm 123 kwa dume na sm 107 kwa jike. Urefu wa mkia nni ismsm 90 – 105 kwa dume na 70 – 100 kwa jike. Nywele ndefu zaidi za simba zilirekodiwa huko Mucsso, kusini mwa [[Angola]], Oktoba 1973; na simba mzito kuliko wote alikuwa ni yule mla watu aliyepigwa risasi huko [[Transvaal]], [[Afrika Kusini na]]: alikuwa na uzito wa kg 313. Simba wanaohifadhiwa huwa wakubwa zaidi na pengine wazito zaidi kuliko wale wa mwituni.
 
== BailojiaBiolojia na tabia ==
Simba hutumia muda wao mwingi wa siku kupumzika kwa takribanitakriban masaasaa 20 kwa siku. Japokuwa wanaweza kuamka muda wowote, lakini hali hiyo hutegemea zaidi cha kuchangamana. Kipindi hicho mara nyingi baina huwa [[usiku]] mpaka [[mapambazuko]] ambako hasa ndio muda wa kuwinda. Hutumia kwa wastani masaasaa mawilimbili kwa siku kutembea na [[dakika]] 50 kula.
 
== Uwindaji na chakula ==
Line 72 ⟶ 78:
[[Picha:Loewen elefanten.jpg|thumb|Simba huko Mto Savuti wanajulikana kwa kuwinda kwao hata tembo.]]
[[Picha:Lions and a Zebra b.jpg|thumb|Wawindaji wa kundi wanamla [[pundamilia]] mahali walipomuulia.]]
Simba ni wanyama wenye nguvu ambao mara zote huwinda kwa makundi na kumkazania windo walilochagua. Hata hivyo hawajulikani sana kwa stamina yao, kwa mfano, [[moyo]] wa simba jike unajumisha tu asilimia 0.57 ya uzito wa mwili wake ( wa dume ni asilimia 0.45 ya uzito wa mwili wake), wakati ule wa [[fisi]] ni karibu na asilimia moja ya uzito wake. Hivyo basi, japokuwa simba anaweza kufikia [[mwendokasi]] wa km 81 kwa saa, wanaweza kufanya hivyo kwa mwendo mfupi tu na inawapasa kuwa karibu na mawindo kabla ya kuanza shambulio. Hutumia mwanya wa kupunguza uoni; kwa kufanya uwindaji sana nyakati za usiku. Humnyatia adui mpaka pale wamekaribia kwa walau mita 30 au pungufu. Kisha kukaribia huchagua mnyama aliyekaribualiye karibu. Shambulio huwa fupi na la nguvu; hujaribu kumkamata kwa kumkurupusha kwa kasi na kisha kumrukia. Mnyama huyo daima huuwawahuuawa kwa kunyongwa. Mara kadhaa pia huweza kuuwawakuuawa kwa kuzibwa [[mdomo]] na [[pua]] zake kwa taya za simba. Wanyama wadogo huuwawahuuawa tu kwa kupigwa [[ngwala]] kwa mguu wa simba.
 
[[Kitoweo]] cha simba hujumuisha wanyama wengi wakubwa, hasa wildebeest, [[nyati]], [[impala]], [[pundamilia]], na warthogs kwa Afrika na [[nilgai]], wild boar na aina kadhaa za [[tandala]] huko India. Spishi nyingine huwindwa kutokana na upatikanaji wao.
Simba ni wanyama wenye nguvu ambao mara zote huwinda kwa makundi na kumkazania windo walilochagua. Hata hivyo hawajulikani sana kwa stamina yao, kwa mfano, moyo wa simba jike unajumisha tu asilimia 0.57 ya uzito wa mwili wake ( wa dume ni asilimia 0.45 ya uzito wa mwili wake), wakati ule wa fisi ni karibu na asilimia moja ya uzito wake. Hivyo basi japokuwa simba anaweza kufikia mwendokasi wa km 81 kwa saa, wanaweza kufanya hivyo kwa mwendo mfupi tu na inawapasa kuwa karibu na mawindo kabla ya kuanza shambulio. Hutumia mwanya wa kupunguza uoni; kwa kufanya uwindaji sana nyakati za usiku. Humnyatia adui mpaka pale wamekaribia kwa walau mita 30 au pungufu. Kisha kukaribia huchagua mnyama aliyekaribu. Shambulio huwa fupi na la nguvu; hujaribu kumkamata kwa kumkurupusha kwa kasi na kisha kumrukia. Mnyama huyo daima huuwawa kwa kunyongwa. Mara kadhaa pia huweza kuuwawa kwa kuzibwa mdomo na pua zake kwa taya za simba. Wanyama wadogo huuwawa tu kwa kupigwa ngwala kwa mguu wa simba.
 
Simba wakiwa wanawinda katika kundi kubwa awanawana uwezo hata wa kuangusha wanyama wakubwa lakini maranyingimara nyingi huwa hawashambulii wanyama wakubwa sana kama vile [[twiga]] kwa kuhofia kejeruhiwakujeruhiwa pia.
Kitoweo cha simba hujumuisha wanyama wengi wakubwa, hasa wildebeest, nyati, impala, pundamilia, na warthogs kwa Afrika na nilgai, wild boar na aina kadhaa za tandala huko India. Spishi nyingine huwindwa kutokana na upatikanaji wao.
 
Simba pia wanauwezowana uwezo wa kushambulia wanyama wanaofugwa na binadamu; kwa mfano huko India [[ng’ombe]] wengi huwa chakula cha simba. Simba pia wanaweza kula wanyama wenzao wanaokula nyama kama vile chui, [[duma]], fisi na [[mbwa mwitu]]. Pia wakati mwingine hula mizoga ya wanyama wengine waliouwawawaliouawa kwa majanga au na wanyama wengine, na huwaangaliahuangalia sana mahali wapozunguka zungukawapozungukazunguka [[tai]], wakijua fika mahali walipo patakuwa na mizoga. [73] Simba anaweza kula mpaka hata kg 30 kwa [[mlo]] mmoja; [74] na kama hawezi kula windo lake lote, hupumzika kwa masaasaa kadhaa na kisha kuendelea tena. Wakati wa [[mchana]] na joto kali, kundi la simba hukaa kivulini na dume mojammoja au mawiliwawili kubakia kama walinzi. [75] Simba jike anahitaji walau kg 5 za nyama kwa siku wakati dume ni kg 7.
Simba wakiwa wanawinda katika kundi kubwa awana uwezo hata wa kuangusha wanyama wakubwa lakini maranyingi huwa hawashambulii wanyama wakubwa sana kama vile twiga kwa kuhofia kejeruhiwa pia.
 
KwasababuKwa sababu simba huwinda kwenye sehemu wazi, ambapo wanaonekana kwa urahisi na adui zake, [[uwindaji]] wa ushirikiano ndio huasaidiahusaidia na kufanikiwa, hasa kwa wanyama wakubwa. Ushirikiano huu husaidia pia kulinda mawindo yao kwa urahisi dhidi ya wanyama wengine, kama vile fisi, ambao mara moja hujua mzoga ulipo kwa kuanagaliakuangalia mahali ambapo tai wanaruka. Uwindaji mkubwa hufanywa na simba jike; simba dume waliopo kwenye kundi hawashiriki kwenye uwindaji mpaka tu pale wanapohitaji kuwinda wanyama wakubwa kama vile twiga au nyati. Wakati wa kuwinda kila simba jike ana nafasi ya kuwinda na kumpata myamamnyama, aidha kwa kunyatia kwenye na kisha kushambulia au kusogea [[umbali]] kidogo karibu na katikati mwa kundi na kumkamata mnyama huyo amwindaeamwindaye kutoka kwa simba wengine. .
Simba pia wanauwezo wa kushambulia wanyama wanaofugwa na binadamu; kwa mfano huko India ng’ombe wengi huwa chakula cha simba. Simba pia wanaweza kula wanyama wenzao wanaokula nyama kama vile chui, duma, fisi na mbwa mwitu. Pia wakati mwingine hula mizoga ya wanyama wengine waliouwawa kwa majanga au na wanyama wengine, na huwaangalia sana mahali wapozunguka zunguka tai, wakijua fika mahali walipo patakuwa na mizoga. [73] Simba anaweza kula mpaka hata kg 30 kwa mlo mmoja; [74] na kama hawezi kula windo lake lote, hupumzika kwa masaa kadhaa na kisha kuendelea tena. Wakati wa mchana na joto kali, kundi la simba hukaa kivulini na dume moja au mawili kubakia kama walinzi. [75] Simba jike anahitaji walau kg 5 za nyama kwa siku wakati dume ni kg 7.
 
Simba wadogo huonesha tabia ya kunyatia wanyama wakiwa na miezi mitatu tu, ingawa hawashiriki kwenye uwindaji mpaka wawe na umri wa mwaka mmoja. Huanza rasmi kuwinda wakiwa na umri wa miaka miwili. .
Kwasababu simba huwinda kwenye sehemu wazi, ambapo wanaonekana kwa urahisi na adui zake, uwindaji wa ushirikiano ndio huasaidia na kufanikiwa, hasa kwa wanyama wakubwa. Ushirikiano huu husaidia pia kulinda mawindo yao kwa urahisi dhidi ya wanyama wengine kama vile fisi ambao mara moja hujua mzoga ulipo kwa kuanagalia mahali ambapo tai wanaruka. Uwindaji mkubwa hufanywa na simba jike; simba dume waliopo kwenye kundi hawashiriki kwenye uwindaji mpaka tu pale wanapohitaji kuwinda wanyama wakubwa kama vile twiga au nyati. Wakati wa kuwinda kila simba jike ana nafasi ya kuwinda na kumpata myama, aidha kwa kunyatia kwenye na kisha kushambulia au kusogea umbali kidogo karibu na katikati mwa kundi na kumkamata mnyama huyo amwindae kutoka kwa simba wengine. .
 
Simba wadogo huonesha tabia ya kunyatia wanyama wakiwa na miezi mitatu tu, ingawa hawashiriki kwenye uwindaji mpaka wawe na umri wa mwaka mmoja. Huanza rasmi kuwinda wakiwa na umri wa miaka miwili. .
 
== Uzazi na mzunguko wa maisha ==
[[Picha:Lions mating Denver Zoo.jpg|thumb|Wakati wa kujamiianakujamiana, wenza haodume hutoa [[shahawa]] mara 20 mpaka 40 kwa siku kadhaa.]]
Wengi wa simba jike huanza kuzaa wakiwa na miaka minne.[79] Simba hawajamiianihawajamiani katika kipindi fulani maalumu cha mwaka. Kama ilivyo kwa paka wengine, [[uume]] wa simba una kama miiba zilizogeukia nyuma. Wakati wa kuutoa, miiba hiyo hukwangua kuta za [[uke]] na kusababisha kuachiwa kwa [[yai]]. Akiwa kwenye joto, simba jike huweza kujamiianakujamiana na zaidi ya dume mmoja, na wakati wa kujaamiana, ambako kunaambao wezaunaweza kuchukua siku kadhaa, wenza hao hujamiianahujamiana mara [[ishirini]] mpaka [[arobaini]] kwa siku na mara nyingi hata huahirisha kula. Simba huzaliana vizuri kwenye hifadhi.
 
Simba jike hubeba [[ujauzito]] kwa siku 110, na kisha hujifungua watoto mmoja mpaka wane kwenye sehemu maalumu, mara nyingi mbali na lilipo kundi lake. Mara nyingi huwinda peke yake wakati watoto bado hawajiwezi, wakikaa karibu na watoto huzaliwa wakiwa hawaoni, mpaka baada ya wiki hivi. Huwa na uzito wa kg 1.2-2.1 wakati wa kuzaliwa na huweza kuanza kutambaa baada ya siku moja mpaka mbili na kuweza kutembea nje baada ya majuma matatu. Simba jike huyo huwahamisha watoto wake mara kadhaa kwa mwezi, kwa kuwabeba mmoja mmoja kwa shingo zao, ili kuzuia harufu kujijenga kwenye malazi yao na ili kutowavuta wanyama wengine wala nyama ambao pengine wangeweza kuwadhuru watoto.
 
Huwa na uzito wa kg 1.2-2.1 wakati wa kuzaliwa na huweza kuanza kutambaa baada ya siku moja mpaka mbili na kuweza kutembea nje baada ya majuma matatu. Simba jike huyo huwahamisha watoto wake mara kadhaa kwa mwezi, kwa kuwabeba mmojammoja kwa shingo zao, ili kuzuia [[harufu]] kujijenga kwenye malazi yao na hivyo kuvuta wanyama wengine wala nyama ambao pengine wangeweza kuwadhuru watoto.
[[Picha:Lions mating Denver Zoo.jpg|thumb|Wakati wa kujamiiana, wenza hao hutoa shahawa mara 20 mpaka 40 kwa siku kadhaa.]]
 
Katika [[filamu]] ya picha za [[:en:The Walt Disney Company|Walt Disney Pictures]] ''[[The Lion King]]'', mhusika, kijanani simba cub, nimwanasimba aitwaye [[:en:Simba|Simba]].
Simba jike hubeba ujauzito kwa siku 110, na kisha hujifungua watoto mmoja mpaka wane kwenye sehemu maalumu mara nyingi mbali na lilipo kundi lake. Mara nyingi huwinda peke yake wakati watoto bado hawajiwezi, wakikaa karibu na watoto huzaliwa wakiwa hawaoni, mpaka baada ya wiki hivi. Huwa na uzito wa kg 1.2-2.1 wakati wa kuzaliwa na huweza kuanza kutambaa baada ya siku moja mpaka mbili na kuweza kutembea nje baada ya majuma matatu. Simba jike huyo huwahamisha watoto wake mara kadhaa kwa mwezi, kwa kuwabeba mmoja mmoja kwa shingo zao, ili kuzuia harufu kujijenga kwenye malazi yao na ili kutowavuta wanyama wengine wala nyama ambao pengine wangeweza kuwadhuru watoto.
 
== Picha ==
Line 99 ⟶ 107:
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Panthera leo|Simba}}