Rosario : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Rosario monu bandera.jpg|thumb|right|Rosario]]
 
'''Rosario''' ni mji uliopo mashariki-kati mwa nchi ya [[Argentina]], takriban km 300 kutoka mji wa [[Buenos Aires]]. Ni mkuu wa [[Santa Fe Province]]. Na kwa mwaka wa 2008, mji wa Rosario una wakazi wapatao 1,000,000, na kuufanya uwe mji wa tatu kwa ukubwa katika Argentina. Mji upo katika eneo la mto mashuhuri wa Argentina - [[mto Parana]].
==Viungo vya nje==