Mmumunyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mmumunyo''' au '''myeyusho'''<ref>"Mmumunyo" ni chaguo la kitabu cha "Furahia Kemia - Enjoy Chemistry", Dar es Salaam 2011, pia cha KAST; "Myeyusho" ni c...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mmumunyo''' au '''myeyusho'''<ref>"Mmumunyo" ni chaguo la kitabu cha "Furahia Kemia - Enjoy Chemistry", Dar es Salaam 2011, pia cha [[KAST]]; "Myeyusho" ni chaguo la kwanza la [[KKK/ESD]]</ref> ([[ing.]] ''solution'') ni tokeo la kuchanganya dutu mbili kabisa hadi kupata mchanganyiko wa aina moja usioonyesha sehemu zake. Mfano ni kukoroga sukari katika maji. Hapo sukari haionekani tena imechanganika kabisa na maji.
 
Kwa lugha ya kemia sukari ni kimumunyika, maji ni kimumunyi (kiyeyushi<ref>Kiyeyushi ni pndekezopendekezo la [[KAST]]</ref>) na tokeo ni mchanganyiko wa aina moja au mmumunyo,
 
Mara nyingi kimumunyi ni [[kiowevu]] lakini kuna pia mifano mingine.
Mstari 10:
 
Kuna pia mifano ya mmimumunyo kama kimumunyi ni mango. [[Aloi]] zote ni mmimunyo ya metali mbili.
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[jamii:Kemia]]