Mmumunyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mmumunyo''' au '''myeyusho'''<ref>"Mmumunyo" ni chaguo la kitabu cha "Furahia Kemia - Enjoy Chemistry", Dar es Salaam 2011, pia cha [[KAST]]; "Myeyusho" ni chaguo la kwanza la [[KKK/ESD]]</ref> ([[ing.]] ''solution'') ni tokeo la kuchanganya dutu mbili kabisa hadi kupata [[mchanganyiko wa aina moja]] usioonyesha sehemu zake. Mfano ni kukoroga sukari katika maji. Hapo sukari haionekani tena imechanganika kabisa na maji.
 
Kwa lugha ya kemia sukari ni kimumunyika, maji ni kimumunyi (kiyeyushi<ref>Kiyeyushi ni pendekezo la [[KAST]]</ref>) na tokeo ni mchanganyiko wa aina moja au mmumunyo,