Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kuhusu uwiano wa maji
Mstari 52:
 
=== Kubadilika kwa kiasi cha maji ===
Kutokana na mahali pake katika [[tropiki]] kwenye [[jua]] kali, Ziwa Tanganyika linapotewa na maji mengi kwa njia ya [[uvukizaji]]. Kwa hiyo kiasi cha maji ndani yake inategemeana na kiasi cha maji yanayoingia. Kwa sasa [[chanzo]] kikubwa ni maji ya [[Ziwa Kivu]]. Imegunduliwa ya kwamba uwiano wa ziwa ulibadilika sana katika [[historia]]. <ref>[https://books.google.de/books?id=C_ABrmnsKY4C&printsec=frontcover&dq=L%C3%A9v%C3%AAqu,+Christian&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwibw9GtyJTQAhVCJsAKHYBLDWwQuwUINTAC#v=onepage&q=L%C3%A9v%C3%AAqu%2C%20Christian&f=false<nowiki> tazama Christian Lévêque, Biodiversity Dynamics and Conservation: The Freshwater Fish of Tropical Africa], Cambridge University Press 1997, uk. 109 ff</nowiki>von C.</ref>
 
Mnamo miaka 200,000 iliyopita uso wa ziwa ulikuwa mita 600 chini ya uwiano wa leo. Wakati wa vipindi vya [[tabianchi]] yenye [[mvua]] nyingi zaidi uwiano ulipanda juu, na kupungua tena kwenye vipindi vya [[ukame]]. Vipindi hivi vya mabadiliko vilidumu mara kwa mara miaka [[elfu]] kadhaa.
Mstari 58:
Hali ya sasa imepatikana tangu miaka 12,000. Wakati ule [[volkeno za Virunga]] vililipuka na kuziba mto uliowahi kubeba maji ya Ziwa Kivu kuelekea [[mto Naili]] na baada ya kufikia uwiano wa leo maji ya Kivu yalianza kutoka upande wa Tanganyika kupitia njia ya Ruzizi.
 
Mabadiliko ya uwiano wa maji kwenye ziwa zilitazamiwa pia katika historia ya miaka 200 iliyopita kwa kulinganisha kumbukumbu ya wakazi na taarifa za wapelelezi wazungu walioandika taarifa juu ya safari zao. Baada ya mwaka 1800 maji yalikuwa chini sana, kabla ya 1900 yalikuwa juu sana, tangu 1900 yalishuka tena. Katika miaka ya 1960 ziwa lilijaa tena likabaki hivi hadi sasa. Mabadiliko haya yanalingana na mabadiliko katika kiasi cha mvua inayopokelewa katika beseni ya ziwa. <ref>[http://link.springer.com/article/10.1023/A:1005424619718<nowiki> Historical and Modern Fluctuations of Lakes Tanganyika and Rukwa and Their Relationship to Rainfall Variability], Sharon E. Nicholson in: Climatic Change (1999) 41 (sumarrysummary on springer.com, iliangaliwa Novemba 2016)</nowiki></ref>
 
=== Miji na nchi jirani ===