Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 94:
 
Kuna [[njia za reli]] zinazoishia
* [[Kigoma]] (Tanzania) kutoka [[Dar es Salaam]], bado kwenye njia ya reli iliyojengwa zamani za [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]]
* [[Kalemie]] (J.D. Kongo) kutoka [[Lumbumbashi]]
* [[Mpulungu]] (Zambia) - hakuna reli bado, ila kuna mipango ya kujenga njia hadi hapa hadi njia kuu ya [[TAZARA]]
 
[[Huduma]] iliyopo hadi sasa ni ngumu na hali za njia za reli si nzuri. Upande wa Tanzania [[treni]] zilichelewa mno, masaa hata siku, lakini hali ilianza kuwa afadhali kuanzia kufika kwa [[serikali]] mpya ya rais .
 
Muhimu kwa ajili ya watu ziwani ni huduma ya [[feri]]. Kuna meli 2 zinazobeba [[abiria]] na mizigo ambazo ni [[MV Liemba]] baina ya Kigoma na Mpulungu halafu [[MV Mwongozo]] baina ya Kigoma na Bujumbura.