Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 20:
Maji yake hutoka kuelekea [[Kongo (mto)|mto Kongo]] ha hatimaye katika [[Atlantiki|Bahari Atlantiki]].
 
==Jina==
[[Jina]] la ziwa limekuwa pia jina la [[Eneo la kudhaminiwa|eneo lililokabidhiwa]] kwa [[Uingereza]] kama [[Tanganyika]] baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] tangu [[1919]].<ref>Mwaka 1919 sehemu kubwa ya [[koloni]] la [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ilikabidhiwa rasmi mikononi mwa Uingereza kama [[eneo la kudhaminiwa]] chini ya [[mamlaka]] ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha [[mkataba wa Versailles]].
[[Jina]] la ziwa limepokewa na [[Wazungu]] [[wapelelezi]] wa kwanza kutoka kwa wenyeji wa [[Ujiji]]. [[Henry Morton Stanley]] aliyetembelea ziwa mnamo mwaka 1876 aliandika ya kwamba [[watu]] wa [[Ujiji]] hawakuwa na uhakika kuhusu maana ya jina, ila tu ilimaanisha ziwa kubwa<ref>Habari zifuatazo kutoka HM Stanley, [https://archive.org/stream/throughdarkconti1878stan2#page/n31/mode/2up Through the Dark Continent Vol 2, p 16] </ref>. Maana waliita maziwa madogo "Kitanga", na waliita pia "ziwa la Usukuma" yaani Viktoria Nyanza kwa jina hili "Tanganika". Wajiji walimwambia Stanley ya kwamba labda neno "nika" ilitoka kwa aina ya [[samaki]] walioitwa vile. Baadaye Stanley alikumbuka neno "nika" katika [[lugha]] nyingine za Kiafrika kwa maana ya "tambarare, eneo kubwa bapa" akahisi ya kwamba waliita ziwa kama "tambarare kubwa iliyotanda" <ref>Tanganika, 'the great lake spreading out like a plain', or 'plain-like lake'</ref> .
 
Stanley alishika pia majina ya ziwa kwa [[Kabila|makabila]] mengine- watu wa [[Marungu]] walisema "Kimana", wale wa [[Urungu]] "Iemba" na [[Wakawendi]] "Nsaga" kwa maana "ziwa lenye dhoruba". Alichoshika na watu wa Urungu, yaani "Iemba", inalingana na taarifa ya [[David Livingstone]] aliyekuta jina "Liemba" kuwa jina la sehemu ya [[kusini]] ya ziwa na jina hili linaendelea kutumiwa kwa [[meli]] ya [[MV Liemba]] inayosafirisha watu na [[bidhaa]] ziwani tangu mwaka [[1914]].
 
[[Jina]] la ziwa limekuwa pia jina la [[Eneo la kudhaminiwa|eneo lililokabidhiwa]] kwa [[Uingereza]] kama [[Tanganyika]] baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] tangu [[1919]].<ref>Mwaka 1919 sehemu kubwa ya [[koloni]] la [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ilikabidhiwa rasmi mikononi mwa Uingereza kama [[eneo la kudhaminiwa]] chini ya [[mamlaka]] ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha [[mkataba wa Versailles]].
 
Mwaka [[1922]] Shirikisho la Mataifa lilithibitisha hatua hiyo na kuamua masharti ya kukabidhi.
Line 26 ⟶ 31:
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hilo na tangu Januari [[1920]] wakaamua kuliita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la ziwa kubwa upande wa [[mashariki]] wa eneo. <sup>[[Tanganyika#cite note-1|[1]]]</sup>
</ref>
 
==Jina==
Jina la ziwa limepokewa na [[Wazungu]] [[wapelelezi]] wa kwanza kutoka kwa wenyeji wa [[Ujiji]]. [[Henry Morton Stanley]] aliyetembelea ziwa mnamo mwaka 1876 aliandika ya kwamba [[watu]] wa [[Ujiji]] hawakuwa na uhakika kuhusu maana ya jina, ila tu ilimaanisha ziwa kubwa<ref>Habari zifuatazo kutoka HM Stanley, [https://archive.org/stream/throughdarkconti1878stan2#page/n31/mode/2up Through the Dark Continent Vol 2, p 16] </ref>. Maana waliita maziwa madogo "Kitanga", na waliita pia "ziwa la Usukuma" yaani Viktoria Nyanza kwa jina hili "Tanganika". Wajiji walimwambia Stanley ya kwamba labda neno "nika" ilitoka kwa aina ya [[samaki]] walioitwa vile. Baadaye Stanley alikumbuka neno "nika" katika [[lugha]] nyingine za Kiafrika kwa maana ya "tambarare, eneo kubwa bapa" akahisi ya kwamba waliita ziwa kama "tambarare kubwa iliyotanda" <ref>Tanganika, 'the great lake spreading out like a plain', or 'plain-like lake'</ref> .
 
Stanley alishika pia majina ya ziwa kwa [[Kabila|makabila]] mengine- watu wa [[Marungu]] walisema "Kimana", wale wa [[Urungu]] "Iemba" na [[Wakawendi]] "Nsaga" kwa maana "ziwa lenye dhoruba". Alichoshika na watu wa Urungu, yaani "Iemba", inalingana na taarifa ya [[David Livingstone]] aliyekuta jina "Liemba" kuwa jina la sehemu ya [[kusini]] ya ziwa na jina hili linaendelea kutumiwa kwa [[meli]] ya [[MV Liemba]] inayosafirisha watu na [[bidhaa]] ziwani tangu mwaka [[1914]].
 
== Jiografia ==
Mstari 58:
Hali ya sasa imepatikana tangu miaka 12,000. Wakati ule [[volkeno za Virunga]] vililipuka na kuziba mto uliowahi kubeba maji ya Ziwa Kivu kuelekea [[mto Naili]] na baada ya kufikia uwiano wa leo maji ya Kivu yalianza kutoka upande wa Tanganyika kupitia njia ya Ruzizi.
 
Mabadiliko ya uwiano wa maji kwenye ziwa zilitazamiwayalitazamwa pia katika historia ya miaka 200 iliyopita kwa kulinganisha kumbukumbu ya wakazi na taarifa za wapelelezi wazunguWazungu walioandika taarifa juu ya safari zao. Baada ya mwaka [[1800]] maji yalikuwa chini sana, kabla ya [[1900]] yalikuwa juu sana, tangu 1900 yalishuka tena. Katika [[miaka ya 1960]] ziwa lilijaa tena likabaki hivi hadi sasa.

Mabadiliko haya yanalingana na mabadiliko katika kiasi cha mvua inayopokelewainayopokewa katika beseni ya ziwa. <ref>[http://link.springer.com/article/10.1023/A:1005424619718 Historical and Modern Fluctuations of Lakes Tanganyika and Rukwa and Their Relationship to Rainfall Variability], Sharon E. Nicholson in: Climatic Change (1999) 41 (summary on springer.com, iliangaliwa Novemba 2016)</ref>
 
=== Miji na nchi jirani ===
[[Miji]] mikubwa ziwani ni [[bandari]] za [[Kigoma]] kwa upande wa Tanzania na [[Kalemie]] kwa upande wa Kongo. Kila bandari ni pamoja na mwanzo wa [[njia ya reli]]. Mji mkubwa kabisa ni [[Bujumbura]], [[mji mkuu]] wa [[Burundi]].
 
Eneo lote la ziwa limegawiwa baina ya nchi jirani yaani [[Tanzania]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Burundi]] na [[Zambia]]. Sehemu kubwa iko chini ya Tanzania (46[[%]]) and J.D. Kongo (40%).
 
==== Visiwa ====
Line 87 ⟶ 89:
Tasnia muhimu katika eneo la ziwa ni [[uvuvi]]. Inakadiriwa ya kwamba baina ya 25–40[[%]] za [[protini]] katika [[chakula]] cha [[milioni]] 1 ya watu wanaoishi kule ni kutoka samaki wa ziwani<ref>[http://data.mongabay.com/external/lake_tanganyika_warming.htm Lake Ecosystem Critical to East African Food Supply Is Threatened by Climate Change] , taarifa ya National Science Foundation (NSF) kupitia tovuti ya www.mongabay.com, iliangaliwa 6 Novemba 2016 </ref>.
 
Mwaka [[2015]] kulikuwa na watu mnamo 100,000 hivi waliofanya [[kazi]] kuhusiana na uvuvi.
 
Samaki wa ziwani wanauzwa kote [[Afrika ya Mashariki]]. Katika [[miaka ya 1950]] uvuvi wa kibiashara ulianzishwa ziwani ukasabisha kupotea kwa samaki: kufikia mwaka [[1995]] mavuno ya samaki yalipungua hadi [[tani]] 180,000. Kampuni nyingi za uvuvi zilizostawi katika [[miaka ya 1980]] ziliporomoka.
Line 93 ⟶ 95:
==Usafiri==
[[Picha:Liemba1.jpg|thumb|436x436px|Feri ya MV Liemba ziwani]]
 
[[Usafiri]] ni mgumu kufikia Ziwa Tanganyika kutoka miji mikuu ya nchi zao.