Mmumunyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mmumunyo''' au '''myeyusho'''<ref>"Mmumunyo" ni chaguo la [[kitabu]] cha "Furahia Kemia - Enjoy Chemistry", Dar es Salaam 2011, pia cha [[KAST]]; "Myeyusho" ni chaguo la kwanza la [[KKK/ESD]]</ref> (kwa [[ing.Kiingereza]] ''solution'') ni tokeo la kuchanganya kabisa [[dutu]] [[mbili kabisa]] hadi kupata [[mchanganyiko wa aina moja]] usioonyesha sehemu zake. Mfano ni kukoroga [[sukari]] katika [[maji]]. Hapo sukari haionekani tena imechanganika kabisa na maji.
 
Kwa [[lugha]] ya [[kemia]] sukari ni kimumunyika, maji ni kimumunyi (kiyeyushi<ref>Kiyeyushi ni pendekezo la [[KAST]]</ref>) na tokeo ni mchanganyiko wa aina moja au mmumunyo,
 
Mara nyingi kimumunyi ni [[kiowevu]] lakini kuna pia mifano mingine.
 
[[Gesi]] zinaweza kumumunyika katika kiowevu, kwa mfano [[oksijeni]] katika maji ambayo ni msingi wa [[uhai]] [[Bahari|baharini]] au [[Mto|mtoni]]. Gesi inamumunyika pia katika gesi nyingine. [[Hewa]] kwa mnfanomfano ni mchanganyiko wa aina moja; oksijeni na gesi nyingine zimemumunyika katika [[nitrojeni]],.
 
Kiowevu kinaweza kumumunyika katika kiowevu kingine., lakini kuchanganya maji na [[mafuta]] hauletihakuleti mchanganyiko wa aina moja, tokeo lake ni [[kiolei]] ''(emulsion)''.
 
Kuna pia mifano ya mmumunyo kama kimumunyi ni [[mango]]. [[Aloi]] zote ni mimumunyo ya [[metali]] mbili, kwwakwa mfano [[bronzi]] ni mmumunyo wa [[stani]] iliyomumunika katika [[shaba]]. Mmumunyo wa aloi unatokeeaunatokea katika hali kiowevu wakati metali zote mbili zilipashwa [[moto]] na kuyeyuka.
 
==Marejeo==
Mstari 15:
 
[[jamii:Kemia]]
[[Jamii:Teknolojia]]