Tanuri la nyuklia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[File:Scwr.svg|thumb|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa [[maji]].]]▼
[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island, [[Marekani]].]]▼
'''Tanuri la nyuklia''' ni [[mtambo]] ambamo [[mchakato mfululizo wa nyuklia]] unatokea. [[Mwatuko wa nyuklia]] huzalisha [[joto]] ambalo latumiwa kutengeneza [[umeme]].
▲[[File:Scwr.svg|thumb|Muundo wa tanuri nyuklia inayopozwa kwa [[maji]]]]
▲[[File:Three Mile Island (color)-2.jpg|thumb|Tanuri la nyuklia kwenye kituo cha nguvu cha Three Mile Island, [[Marekani]]]]
Kuna aina mbalimbali za matanuri lakini kwa kawaida [[fueli]] ni ama [[urani|urani-235]] au [[plutoni|plutoni-239]].
==Kiini cha tanuri la nyuklia==
[[Kiini]] ni sehemu ya tanuri la nyuklia
Fueli imo kwa [[umbo]] la [[nondo]] za urani au plutoni. Nondo
Kiasi cha nyutroni kinachopatikana kwa kazi hii hutawaliwa kwa kuingiza au kuondoa [[nondo dhibiti]]. Hizi nondo dhibiti hujaa vidonge vya [[bori]] au [[kadmi]] na kuzuia mwendo wa nyutroni.
Mstari 19:
Matanuri ya nyuklia kadhaa hazina kazi ya kuzalisha umeme, hasa ni matanuri ya [[utafiti]] wa ki[[sayansi]] au ya kutengeneza [[isotopi]] nururifu kwa matumizi ya ki[[matibabu]], au kwa kusudi la kuwafundisha [[wanafunzi]] kwenye [[vyuo vikuu]].
==
1. Marekani
2. [[Ufalme wa Muungano|U.K.]]
3. [[Ufaransa]]
4. [[Russia]]
5. [[Libya]]
6. [[Afrika Kusini]]
7. [[Namibia]]
8. [[India]]
9. [[Pakistan]]
10. [[Korea]]
11. [[China]]
12. [[Iran]]
13.
14. [[Niger]]
15. [[Israel]]
==Historia==
Mstari 55:
Hii ilikuwa sehemu ya mradi wa [[Manhattan Project]] iliyohitaji [[fueli nururifu]] kwa kutengeneza [[bomu nyuklia]] ya kwanza.
Tanuri la kwanza la kuzalisha [[umeme]] lilijengwa [[Idaho]], Marekani mwaka [[1951]]. Liliweza kung'arisha [[balbu]] 1 tu.<ref>http://www.inl.gov/factsheets/ebr-1.pdf Experimental Breeder Reactor 1</ref>.
Mnamo mwaka [[2011]] kulikuwa na matanuri nyuklia 437 zilizozalisha [[nishati nyuklia]] iliyokuwa takriban [[asilimia]] 5 za umeme [[dunia]]ni.
Matanuri ya nyuklia ni mitambo ghali sana kwa sababu [[unururifu]] wa
[[Faida]] ya tanuri la nyuklia ni kwamba halichafui [[hewa]] kama kituo cha nguvu ya [[makaa]] au [[mafuta]].
==Marejeo==
{{reflist}}
==Viungo vya
*[http://www.google.com/images?client=flock&channel=fds&q=nuclear+reactor&oe=utf-8&um=1&ie=UTF-8&source=univ&sa=X&ei=6u9_Tf-DLYOssAOAxOGNBg&ved=0CFIQsAQ&biw=984&bih=527 Images for nuclear reactors]
*[http://www.world-nuclear.org/info/inf32.html Nuclear Power Reactors]
|