Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mkabidhi: mjadala mpya
Mstari 88:
 
Salaam Aleikum? Mnamo 4 Julai 2016 nilweza kutoa ombi la kutaka kuwa mkabidhi wa Wiktionary Swahili. Hakuna mkabidhi yeyote aliyejibu..... Nawaomba jamani mjibu.... Ona michango yangu katika tovuti hiyo. Asante '''[[Mtumiaji:Trunzep|Trunzep]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Trunzep|majadiliano]])''' 07:02, 11 Novemba 2016 (UTC)
 
== Mkabidhi ==
 
Salaam ndugu zangu? Naomba kuwa mkabidhi wa Wikipedia Swahili. Mimi huja hapa aghalabu (kila siku) na najua naweza fanya gange murwa sana. Asanteni na salamu tolatola kutoka Nairobi,Kenya
Return to the project page "Wakabidhi".