Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 93:
Salaam ndugu zangu? Naomba kuwa mkabidhi wa Wikipedia Swahili. Mimi huja hapa aghalabu (kila siku) na najua naweza fanya gange murwa sana. Asanteni na salamu tolatola kutoka Nairobi,Kenya '''[[Mtumiaji:Trunzep|Trunzep]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Trunzep|majadiliano]])''' 10:45, 12 Novemba 2016 (UTC)
:::Ndugu Trunzep, kwa sasa naona uonyeshe uwezo wako kuchangia katika kuhariri. Kwa kawaida tumepokea wahariri waliochangia vema na kwa muda na hivyo walionekana wameelewa kazi. Naona wewe ni Mkenya na kwa kweli tunakosa makala nyingi sana kuhusu mambo ya Kenya. Nitafurahia kuona michango yako. Naona hadi sasa umechangia 3,4 katika wikikamusi na pia kidogo katika wikipedia. Nitafurahi sana kuona jinsi unavyoendelea. Fanya tu, baadaye tuongee kuhusu mengine. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 12:14, 12 Novemba 2016 (UTC)
 
Hamna shida ndugu.... subira huvuta heri. Nitafanza pasi uchovu ndugu Kipala :-) '''[[Mtumiaji:Trunzep|Trunzep]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Trunzep|majadiliano]])''' 14:00, 12 Novemba 2016 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".