Constantius Chlorus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131195 (translate me)
Removing "121_Constantius_Chlorus.jpg", it has been deleted from Commons by Sealle because: per c:Commons:Deletion requests/Files in Category:PD-Coins-Krenzer.
Mstari 1:
[[Picha:121 Constantius Chlorus.jpg|thumb|right|Shaba inayoonyesha Kaizari Constantius Chlorus]]
 
'''Flavius Valerius Constantius''' ([[31 Machi]], [[250]] – [[25 Julai]], [[306]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma Magharibi]] kuanzia mwezi wa Mei [[305]] hadi kifo chake. Aliitwa '''Chlorus''' kwa ajili ya rangi ya uso wake kuwa nyeupe. Alimfuata [[Kaizari Maximian|Maximian]]. Alikuwa baba wa [[Konstantin Mkuu]].