Inchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 68 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q218593 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Inchi''' ([[ing.]] ''inch'') ni ni kipimo cha urefu wa 2.54 [[sentimita]]. Inatumika pamoja na [[futi]] na [[maili]]. Si kipimo sanifu cha kimataifa [[SI]] bali ni [[kizio]] cha [[vipimo vya Uingereza]]. Asili yake ni upana wa [[kidole gumba]] cha mtu. Kwa hiyo inchi inalingana takriban na [[wanda]] kati ya vipimo asilia vya Uswahilini ambayo ni pia kipimo cha upana wa kidole ingawa haikusanifishwa.
 
* inchi 1 = 25.4 [[millimita]]
Mstari 15:
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]
[[Jamii:Vipimo vya Uingereza]]
 
[[fy:Tomme (lingtemaat)]]